Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Naishukuru MMU, imenipatia mke........

mwili mmoja ni process ndefu sana ...mwili mmoja hauji siku mkisimam kwa padre/shehe/mchungaji....padri akisema ninyi ni mwili mmoja siku hiyo naomba mjue kuwa mwili mmoja hauji baada ya maneno hayo kutamkwa bali mwili mmoj ni process ndefu sana kabla na baada ya ndoa...mkiachana katikati ya safari jua kabisa kwamba hapakuwa na mwili mmoja kati yenu bali usanii uliotukuka.......kla la kheri
 
hongera,ila i hope umeangalia na mambo mengine ukaona mnaendana,na sio hivyo vitamu pekee maaana kesho na keshokutwa mtazeeka hamna kupeana mautamu tena,so hio pekee isiwe ndio msingi wa mapenzi yenu.
 
hongera sana ila nina mashaka mmejuana kama miezi 2 afu mwatangaza ndoa mmeshajuana vya kutosha? mbona haraka hivo? walau mwaka kujuana na familia kufahamiana kwani ukishatangaza uchumba manake mmeshasomana ni sawa na shemasi anasubiri kupewa upadre,kwenu msali sana.
 
hongera ila huo muda mliojuana miezi miwili....jipeni muda kabla ya kufanya maamuzi mazito, ni mtazamo tu
 
Salaam,

wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;

Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!

Ntakuja kupiga vigelegele
 
Pongezi ziwafikie hapo mlipo muda huu mkila hivyo vitu vitamu mnavyopeana. Kila la heri unakaribishwa sana kwenye chama chetu cha walala uchi tanzania (chawauta)
 
Back
Top Bottom