kwani hujui chelewa chelewa utapata mwana si wako? na jinsi siku hizi kuna masimba mbarara, hata mimi nisingezubaaMiezi miwili iliyopita ?
Na sasa mko kwenye penzi tamu na mwezi ujao ndoa ... ndani ya miezi miwili tu oops sijawahi ona ..
Hongereni sana mungu awatangulie katika hili