Asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawana Sifa za taaluma hiyo ndio maana hawapewi mikataba

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
943
4,457
Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity hakuifanya kazi yao. Most of journalists in Tanzania are mainly reporters.

Na hali Hii imepelekea waigizaji na wanamziki kuchukua nafasi ya wana habari kwani sifa ya msingi inayotakiwa ni kujua kusoma na kuandika.

Katika mazingira haya ambayo vyombo vya habari vinaendeshwa na wasoma habari ambao ni wasanii na wanamziki ni vigumu watu hawa kupewa mikataba kama wanahabari. Hakuna namna unaweza kutoka mikataba ya ajira kwa watu wasio na sifa. Kwa mantiki hiyo wale waliosoma fani ya uandishi wa habari wengi wamegeuka vibarua na kila mmoja ameamua kufungua online TV yake.

Katika mazingira haya ambayo wenye kumiliki Muhimili huu muhimu wameshindwa kujisimamia ndipo najitokeza kuwapongeza wenye vyombo vya habari kwa kuwapuuza hawa wenye Kalama hadi hapo watakapoweza kujisimamia na kuwa na wivu dhidi ya taaluma zao.
 
Nenda SAUT kitovu cha Journalism and Mass Communication,wanao hitimu shahada ya kwanza ya uandishi wa habari ni wachache ukilinganisha na idadi kuu.

Hivyo unakuta wanao hitimu pure journalists hawazidi 20,wengi hukimbilia kuwa PRO.
 
Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity hakuifanya kazi yao. Most of journalists in Tanzania are mainly reporters.

Na hali Hii imepelekea waigizaji na wanamziki kuchukua nafasi ya wana habari kwani sifa ya msingi inayotakiwa ni kujua kusoma na kuandika.

Katika mazingira haya ambayo vyombo vya habari vinaendeshwa na wasoma habari ambao ni wasanii na wanamziki ni vigumu watu hawa kupewa mikataba kama wanahabari. Hakuna namna unaweza kutoka mikataba ya ajira kwa watu wasio na sifa. Kwa mantiki hiyo wale waliosoma fani ya uandishi wa habari wengi wamegeuka vibarua na kila mmoja ameamua kufungua online TV yake.

Katika mazingira haya ambayo wenye kumiliki Muhimili huu muhimu wameshindwa kujisimamia ndipo najitokeza kuwapongeza wenye vyombo vya habari kwa kuwapuuza hawa wenye Kalama hadi hapo watakapoweza kujisimamia na kuwa na wivu dhidi ya taaluma zao.
Ni Failures waliounga unga tu ndo maana ni wengi ni chawa
 
Back
Top Bottom