Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,639
- Thread starter
- #81
Yaliyopita si ndwele,tugange yajayo
Yaliyopita si ndwele,tugange yajayo
Hata mimi sijakuelewa wewe kuipenda CCM, kwani CCM inavaa utunda(shanga za kiunoni)!Sijakuelewa
Kwani unauhakika anammaanisha yupi? Labda yeye hammaanishi Mungu bali anammaanisha mungu.Kaka unapotaka jina la Mungu andika kwa herufi kubwa au anza na herufi kubwa
Umesoma kichwa cha habari lakiniHata mimi sijakuelewa wewe kuipenda CCM, kwani CCM inavaa utunda(shanga za kiunoni)!
Ndiyo uwezo wa ubongo wake ulipoishia, tusimlaumu kwa kuzaliwa na ulemavu wa ubongo kwani hilo liko nje ya uwezo wake.Wewe kila mtu humuelewi
Mkuu umesoma kichwa cha habari lakiniNdiyo uwezo wa ubongo wake ulipoishia, tusimlaumu kwa kuzaliwa na ulemavu wa ubongo kwani hilo liko nje ya uwezo wake.
Tumpe pole na kimuombea labda anaweza kupata nafuu.
Ni katika kukumbushana historia ya CCM, bila ya kujua tulipotoka, tulipokosea hatuwezi kujua pa kurekebisha na kujua tuendapo.Yaliyopita si ndwele,tugange yajayo
"Sijakuelewa" ndivyo ulivyoandika.Umesoma kichwa cha habari lakini
Nimekisoma.Mkuu umesoma kichwa cha habari lakini
Au mna chuki dhidi ya chama na serikali.SiwaelewiNi katika kukumbushana historia ya CCM, bila ya kujua tulipotoka, tulipokosea hatuwezi kujua pa kurekebisha na kujua tuendapo.
Nasi hatukuelewi hivyo hatuelewani, turiwaindi tuanze upya.Au mna chuki dhidi ya chama na serikali.Siwaelewi
Sawa mkuu"Sijakuelewa" ndivyo ulivyoandika.
Karibu CCM tujenge nchi utanielewa mdauNasi hatukuelewi hivyo hatuelewani, turiwaindi tuanze upya.
Mkuu umesoma kichwa cha habari lakini
Niliachana nacho baada ya kujitambuaNilikua nimezaliwa kaka,nipo napambana na shule ya msingi.Kwanini uliachana na chama chetu huo mwaka
Sijawahi kuwa mwizi na sipendi kuwa mwizi.Karibu CCM tujenge nchi utanielewa mdau
Kwahiyo una maana sisi wana CCM hatujitambui???Niliachana nacho baada ya kujitambua
Hakuna niliposema hivyoKwahiyo una maana sisi wana CCM hatujitambui???
Kwahiyo sisi wanachama wa CCM weziSijawahi kuwa mwizi na sipendi kuwa mwizi.
Au sikukuelewa ndugu yanguHakuna niliposema hivyo