Naipenda CCM, Mungu aibariki

Naipenda CCM, Mungu aibariki

Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa wewe.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Ndo maana mnaugua bawasiri mpuuzi
 
Back
Top Bottom