Naipenda CCM, Mungu aibariki

Naipenda CCM, Mungu aibariki

Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Myopic ina maana huoni mbali sawa na yule kipofu aliyefunguliwa macho kwa dakika moja akamuona punda,kila kitu akiiulizwa anafanananisha na punda tuu.
 
Back
Top Bottom