Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,786
Niliachana na CCM 1984 am sure ulikuwa hujazaliwaDream ipi kaka?????Wewe kurudi kundini au??
Niliachana na CCM 1984 am sure ulikuwa hujazaliwaDream ipi kaka?????Wewe kurudi kundini au??
Nilikua nimezaliwa kaka,nipo napambana na shule ya msingi.Kwanini uliachana na chama chetu huo mwakaNiliachana na CCM 1984 am sure ulikuwa hujazaliwa
Angalia usiuwe ukoo wako kwa kujiangalia wewe mwenyewe tu, angalia na hali za wengine.Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Utakuwa una ugonjwa unaitwa post-traumatic stress disorder (PTSD)Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Sijakuelewa mkuuAngalia usiuwe ukoo wako kwa kujiangalia wewe mwenyewe tu, angalia na hali za wengine.
Kuna mtu kagonga LIKE hapo ngoja nikae kimya!Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Sijakuelewa mkuuUtakuwa una ugonjwa unaitwa post-traumatic stress disorder (PTSD)
Kwaresma ikiisha ntakujibuCCM chama bora kabisa ukanda huu,kinatoa fursa kwa wote mkuu.Karibu kundini
Kwanini mkuuKwaresma ikiisha ntakujibu
Utanitia dhambi Bure! SitakiKwanini mkuu
Hapana mkuuUtanitia dhambi Bure! Sitaki
Msema kweli mpenz wa munguKuna mtu kagonga LIKE hapo ngoja nikae kimya!
SawaHapana mkuu
Mungu yupi??Msema kweli mpenz wa mungu
Mungu wangu mkuuMungu yupi??
Acha kumhusisha Mungu na CCM!Mungu wangu mkuu
Mkuu kwani kuipenda CCM dhambi mkuu??Acha kumhusisha Mungu na CCM!
Ccm hii hii ya mafisadi kina Kikwete, Kinana, nk, au kuna nyingine?Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Kama hujalogwa basi itakuwa ulizaliwa na matatizo ya akiliMsema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.