Naipenda CCM, Mungu aibariki

Naipenda CCM, Mungu aibariki

Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Heko mliofanikiwa kuiba kwa raha zenu lazima muipende.
 
Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.

Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.

Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
umesahau kuweka namba yako ya simu. tukitaka kukutuma kakitu kidogo, tunakufikiaje?.

nipo makao makuu hapa lumumba.
 
Kama ukiiba kura na kudhulumu haki za wananchi unapata baraka .
Basi sawa, wabarikiwe
 
Kwanini mkuu
.
IMG_20230222_161025.jpg
 
Back
Top Bottom