Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,639
- Thread starter
- #121
Msema kweli mpenzi wa mungu mkuuMkuu una roho ngumu kama ya paka!
Msema kweli mpenzi wa mungu mkuuMkuu una roho ngumu kama ya paka!
Asante sanaTena bro mshana kitengo cha itikadi ma uenezi kinakufaa mkuu.
Ndiyo ujue wa kwake anaandikwa kwa herufi ndogo.Tunakumbushana kama ni huyu wetu sote anatakiwa kuandika kwa herufi kubwa kuonyesha ishara ya heshima
Karibu mkuu,kutofautiana mitazamo na itikadi sio uaduiAsante sana
"kieleimu"ndio nini??????Au bado upo sekondari kijana wangu???Sawa ipende tu, Ila najua haupo vzr kieleimu au kichwani kuna tatizo!
Mnatoka nje ya mada sababu kuna mungu wengi.Au hamjuiNdiyo ujue wa kwake anaandikwa kwa herufi ndogo.
Hakuna aliyetoka nje mada bali ndani ya mada kumeibuka some subtopics.Mnatoka nje ya mada sababu kuna mungu wengi.Au hamjui
Ni kweli mkuu imekula hifadhi wewe na ukoo wako baada ya kunuka kule Rwanda 1994!hadi Leo!!CCM imenipa vingi japo mimi nimeipa vichache mpaka najihisi sikusitahili mkuu
CCM haiwezi kubarikiwa na Mungu.Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi.
Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi.
Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
Nina ukoo mkubwa mkuu sababu nimezaliwa ndani ya jamii za mpakani..Kwahiyo nina ndugu Uganda na Rwanda na Tanzania na Congo DRC na Congo Brazavile na Afrika ya kati..Ni kweli mkuu imekula hifadhi wewe na ukoo wako baada ya kunuka kule Rwanda 1994!hadi Leo!!
Nisomee dada afu unielezee kiundaniCCM haiwezi kubarikiwa na Mungu.
Soma isaya 50:11
Mkuu una hasira
Chawa uchawani(Masahiisho)Chawa kazini