Japan nakubali. Ila India big no
Kwa India umeongopa.Wahindi Wana silaha za nuclear wale ,pamoja na Pakistan , Mchina kamwe hawezi kwenda kwenye direct battle na India , kama nchi zote zenye nuclear kamwe haziwezi kwenda battle ya moja kwa moja Maana hiyo ni assured destruction Kwa kila mmoja
India Haina uwezo wa kupigana na China miaka elfu.
Mwaka Jana tu hao India walikua wakilalamika mvutano wa mpakani kati ya na China maana wanajeshi wa India walikua wakila Shaba za kufa mtu.
Kumbuka pia km India isingesaidiwa na Russia basi China ingemega eneo kubwa la India.
PAKISTAN IMESHAICHAPA INDIA PALE KASHMIR MPK SASA INAISUMBUA.
HIZO STORI ZA INDIA KUWA NA NGUVU ZA ABUNUASI ILA INDIA KIJESHI DHAIFU.
