Naionya China, isijaribu

🤣🤣🤣🤣 umenichekesha na kunikumbusha mbali. Mpiganaji anarusha ngumi bila kuangalia mbele, yani anavurumisha tu utafikiri anarusha kota.
Hahahaha na risasi zao za "Tyu...Tyu..Tyuu!" Ngumi za uwongo sana
 
Mkuu

Unaijua sana situation ya China

India na Japan wana long time beef na China na wanasubiri tu aingie mkenge,China atakalishwa vibaya na viutajiri vyake vyote vitabebwa!

Huku upande wa West China an ugomvi na India wa siku nyingi kwa ubabe wake wa kujimegea eneo la India...huku upande wa east kuna Japan ana beef na China la kihistoria na wanagombea visiwa..pia na Taiwan

China ana beef na majrani zake wote 32 na bahari nzima ya South China Sea....Rafiki yake ni mmoja tu pande hizo,North Korea.

Russia mwenyewe kwa upande wa Kaskazini wana beef na China la kitambo sana la eneo la Russia China alijimegea,japo ni marafiki kwa sasa,kikiwaka I doubt kama Russia atakua rafiki wa kweli maana sasa ilitegemewa China asaidie ila kauchuna kama hayupo vile.

China anatafutwa na watu kibao yaani.....na kama akibugi akadhani ni Taiwan tu,basi anafeli..maana hataweza kabiliana na vurugu pande zote za nchi kwa wakati mmoja....watamkamua akauke,we subiri tu
 
Angalau umeleta historia inayofikirisha mkuu. Mchina kwa sasa amekalia kuti kavu.
Akilikata ataanguka mwenyew.
 
Warejee vita yetu na Uganda badala ya kufunga mkanda miezi.18 hadi sasa mwamgwi upo
 
Sasa nikuulize, ingekua Ukraine walikomboa snake Island, kwanini kupitisha meli za nafaka ni ruhusa ya Urusi, fatilia vizuri, kijana, Russia ilitoka snake Island ili kuruhusu meli zianze kupitisha ngano
 
Aliyeanzisha vita vya Ukraine ni Putin na Urusi yake sio Marekani, asilimia 70 uliyoandika ni kweli, 30 zilizobaki ni porojo na propaganda tu.
 
Kumpinga dikteta ni hatari sana, wengi waliojaribu kumpinga Putin wameishia kunywa chai zenye polonium, kupigwa risasi, ajali zisizoekewaka, vifungo vya muda mrefu gerezani au kukimbilia uhamishoni West
Kabisa mkuu, nchi za kidikteta mara nyingi maamuzi yao huwa ni ya mtu mmoja alie mbele ya mstari. Hata kama kuna athari mbele yao wao wataenda tu ili mradi watekeleze matakwa ya dikteta wao.
 
Dikteta Stalin wa USSR alijaribu kuimaliza Ukraine kwa mauaji ya kimbari ya Holodomor mwaka 1932-1933 akashindwa kuimaliza japo aliua mamilioni ya Wa Ukraine. Ukraine ni wagumu na wapambanaji haswa sio rojo rojo kama nyie.
Kwa hiyo una uhakika kwamba Ukraine itakuwepo hadi kufikia hiyo miaka mi 5.
 
Russia haifanyi maamuzi kutokana na think tanks au strategists bali kutokana na anavyojisikia dikteta Putin.
 
Hakuna kiongozi kama Mao atakayeiongoza China tena, Mao alipotea na ujamaa wake kabisa na haitajirudia hiyo historia mbovu ya China ya zamani baada ya kuonja utamu wa kibepari.
Mimi kwa maoni yangu naona China kwa Sasa inamuhitaji Rais mwenye kaliba ya Chairman Mao Zedong ili kukamilisha mission ya Taiwan Unification.
 
Kumbuka America ilivyochapwa na Vietcong wakakimbia Saigon miaka ya 70's, na mwaka jana 2021 wakafukuzwa Afghanistan na Taliban kwa aibu kubwa! Waamerika wanataka kuogopwa na watu kama were mleta uzi huu, ili waitawale DUNIA, na kusambaza sera za unyonyaji, ushoga, kuruhusu mihadarati n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…