Naichukia ndoa yangu..

usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.

Hayaka jamani mbona kule kwenye cheating sikukusikia, ulisemaje vile....
 
Jamani wanaume mbona mnatusumbua hivyo? Yaani humu ni wanawake kulalamikia wanume tu, hebu badilikeni bwana mnatutesa wenzenu..
 
Nadhani uliolewa ukiwa mdogo sana 21!......sasa ndio umekua unayaona unaumia........yalikuwapo toka hapo mwanzo
 
Nadhani njia mojawapo ya kupunguza kuwapenda wengine ni kujipenda wewe mwenyewe. Anza kuwa selfish; jipendelee mwenyewe. Always angalia priorities zako; learn to say no to nonsense.

JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui najaribu kumwelewesha misingi ya ndoa na kumwelewesha pale anapoenda kinyume
lakini inakuwa kazi bure.
Kinachoniuma nadhani nampenda sana mme wangu akinikosea ninaumia hata week nzima siwezi kula ,kulala Napata shida wakati yeye
Anakuwa normal na hana hata muda wa kuomba msamaha.
Nahisi haya mapenzi niliyonayo kwa mme wangu yananiua ama kunipeleka vibaya.
Mtaalam mmoja aliniambia Tatizo langu nina 75% ya penzi kwa mme ,nijaribu kuweka 50/50%
Najitahidi kufanya hivo na ku-ignore yote anayoyafanya ,,mwisho wa siku nashindwa najikuta naendelea kuumia zaidi na kunyong’onyea .
Ni mengi anayonikosea.
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie

Mama Clea
 
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..

Miaka 8...umejitahidi si mchezo. Mwenzako KK na ndoa yenye mikogo yote ile siku 72 tu kafile divorce eti 'irreconciliable differences'....I wonder why hiki kitu hakiwezekani hapa Bongo kwetu, kinawaumiza sana wanawake! Wanang'ang'ania tu ndoani wakati wanaumizwa na kuteseka..wengine nao wanakuwa vichwa ngumu wanaanza kutoka nje ya ndoa..ili mradi vurugu tupu! Ingekuwa simple kama kwa wenzetu wa magharibi mbona usingekuwa unaona haya malalamiko lukuki ya kina dada/mama hapa JF.
 
Na unaposema unashindwa kula na kulala nimepata picha ya how unattractive you might look. Dada kula; lala; jipige soap soap; isije kuwa na mvuto umeshapoteza kwa kukaa kumwazia mume. Punguza wivu ambao wewe unahita upendo. Have seen frsutrated women wanavyoonekana na mwisho wa siku uvunja kabisa ndoa zao badala ya kuzijenga. Always remember to put that killing smile of yours on your face; uone kama mumeo hatarudi kama zamani.
 
I feel you my girl ..Look for inspiration from nature, people, and God and you will find more than you need! just note he is not an angel hawezi tu automaticaly kukutosheleza you need to pray and you will see the changes....iv been through it and understand you better my dear ... pls pm if u need more advise
 
Kupunguza ni kutafuta sehemu ya kuyaelekeza......

Unatafuta mtu mwenye extra kuzidi ya mumeo...game over....lol
in aza weds,unamwambia aka cheat,shauri lako, RussianRussian tumeachana muda sio mrefu maeneo ya Kariakoo,anakuja mmu,mi nasepa.
 
Hivi mkuu ule mwongozo wetu hakuna version 2 kwa ajili ya watu kama mama Clea?

mbona uzi ulikwisha toka do's and don'ts kwa wake watoka nje ya ndoa?
ulikuwa mzozo humu balaaa,usikumbushie aisee,kuna watu wali declare kuwa wamekuwa 'rattled' ikabidi tuwamwagie maji kwa jinsi walivyokuwa hoi.
 
Unajua dada yangu tatizo ulilo nalo wewe ndilo nililo nalo na mimi kwa mke wangu, Nadhani nikutafute tubadilishane uzoefu na tuangalie the way forward plz ni-PM tu-arrange.

mmmmmhhh haya,yetu macho,nahisi harufu ya uzinzi hapa.
 
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie

Mama Clea

Mama Clea tafuta plan B itakusaidia
Unaweza kufa kabla ya wakati kwa kuutesa moyo wako.
Angalizo (nipo tayari kuwa serengeti boy)
 
JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui najaribu kumwelewesha misingi ya ndoa na kumwelewesha pale anapoenda kinyume
lakini inakuwa kazi bure.
Kinachoniuma nadhani nampenda sana mme wangu akinikosea ninaumia hata week nzima siwezi kula ,kulala Napata shida wakati yeye
Anakuwa normal na hana hata muda wa kuomba msamaha.
Nahisi haya mapenzi niliyonayo kwa mme wangu yananiua ama kunipeleka vibaya.
Mtaalam mmoja aliniambia Tatizo langu nina 75% ya penzi kwa mme ,nijaribu kuweka 50/50%
Najitahidi kufanya hivo na ku-ignore yote anayoyafanya ,,mwisho wa siku nashindwa najikuta naendelea kuumia zaidi na kunyong'onyea .
Ni mengi anayonikosea.
JF ninawezaje kupunguza haya mapenzi ili niishi kwa Amani?
Nisaidie nakufa siku si zangu..nifundisheni nilipunguze vip hili penzi kwa baba chanja nisiumie

Mama Clea

Pole sana. Kama hujawashirikisha wazazi wenu (kama bado wapo) jaribu kuwashirikisha ili wawasaidie katika matatizo yenu basi fanya hivyo haraka sana au washirikishe wakubwa wenu toka pande zote mbili. Hakuna ubaya wa kumpenda sana mume wako pamoja na matatizo aliyonayo labda anaweza akajirekebisha na ndoa yenu kuwa yenye raha kwa wote. Kila la heri.
 
Back
Top Bottom