Naichukia ndoa yangu..

Haya mama pole, hahahaha eti umekaa kaunta mhudumu anakuja anadeka umnunulie mchemsho haya ndo mapenzi ya dhati kweli?

Mi simaanishi mwanamke yeyote jamani, ni yule mwenye mahusiano naye hasa mkeo
 
usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.
Na kweli machungu yote ya mwanzo utayasahau..Lakini sahau hiyo aghlabu huwa ya muda kwani virusi vya ukimwi vitakapoanza kuwameng'enyua, tatizo litakuwa kubwa zaidi na zaidi kuliko mwanzo. Dawa ni kuchukulia hali hiyo kama changamoto ambayo yahitaji busara na welewa katika kukabiliana nalo...peleleza nini kinachomkinaisha..ukikifahamu ziba pengo hilo kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya zaidi. Achana na wanaokulengeshea nje..utaukwaa upupu!
 
Hivi dada yangu unampendaje mtu aliyepunguza upendo kwako???mbona wengine mnajiletea presha za bure!!!na wewe mwenyewe unasema unaweza kufa siku si zako!!!umeniacha hoi yaani pepo la kupenda kwa asilimia kama zako tena kwa mtu asiye na time na wewe likemee tena wahi kwenye maombi usifanye mchezo litakuuwa kweli,jiulize upendo wa huyo umepotelea wapi??kwanini hakui???kuna mahali kadakwa anapeleka upendo ???nenda kwenye maombi presha zote zitaisha hutateseka tena pia umwombee huyo mmeo.
 
Mama Clea mm naona una wivu wa kufa mtu. Kwani ukimwomba hela akasema hana ww huli wiki nzima? Punguza wivu tu sio mapenzi hata kidogo. Halafu umeyapimaje hayo mapenzi unayodai ni 75 % ?

Ulishamwuliza Baba Clea kama anajisikiaje au akupe angalau hint ya kipimo cha jinsi unavyompenda.? Kama sivyo utapendaje mwenyewe na ukjihukumu mwenyewe ? Mastory mengine humu ya uongo uongo tu. Otherwise wewe una gumbu. Full stop
 
Na kweli machungu yote ya mwanzo utayasahau..Lakini sahau hiyo aghlabu huwa ya muda kwani virusi vya ukimwi vitakapoanza kuwameng'enyua, tatizo litakuwa kubwa zaidi na zaidi kuliko mwanzo. Dawa ni kuchukulia hali hiyo kama changamoto ambayo yahitaji busara na welewa katika kukabiliana nalo...peleleza nini kinachomkinaisha..ukikifahamu ziba pengo hilo kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya zaidi. Achana na wanaokulengeshea nje..utaukwaa upupu!

pia unaweza toka nje kutafuta faraja matokeo yake matatizo yakizidi zaidi ya mumeo cha msingi mkabidhi mungu maisha yenu na ndoa yenu kwa imani utaona unapata amani na furaha ya ndoa
 
Dah kila kukicha kina mama na malalamiko..

mimi huwa najiuliza tunapoelekea jf inaweza kuwa 'not good for your relationship'?????
kwa sababu unakutana na mambo mengi negative hadi na wewe 'yanakuingia'???
 
Mwombe Mungu akusaidie kufanikisha kulitatua hili tatizo. Kama mmeshakaa 8 years, usikimbilie kuanza kufikiria talaka ama kutengana. Kumbuka the grass is not greener on the other side of the world. Fanya kila utakavyoweza kuilinda ndoa yako na kuleta muafaka. Washirikishe ndugu wa karibu/wazazi ama hata viongozi wa kidini. Mungu atakusaidia. Mungu hatokuacha uangamie na sala na maombi yako hayataenda in vain.
 
Humu JF kunahitaji ukomavu; sasa kwa watu ambao kila kitu wana swallow; ndoa zitavunjika aisee.
JF is home of critical thinkers kwa hiyo one is expected kupima kila comment si kuichukua kama ilivyo.

mimi huwa najiuliza tunapoelekea jf inaweza kuwa 'not good for your relationship'?????
kwa sababu unakutana na mambo mengi negative hadi na wewe 'yanakuingia'???
 
usidanganyike dia, tafuta wa kukuliwaza la sivyo utarun crazy, mwenzio yalinikuta tena makubwa kuliko yako, lakini once nilipata faraja mahala pengine mbona ndoa inadumu na ina zaidi ya miaka 12, go out there and find a someone, haitachukua muda kabla hujasahau shida zote.

wewe utakuwa mke wa mbunge fulani!
 
Pole Bi Condoleeza, ndo maana mie mwenzio mtu below 35 niliachana nao kitambo make kazi wao ni usharobaro na kujicompare uzuri na wanawake eti anajidai ye mzuri kuliko wewe hivyo akunyanyase weeeeeeeeee! ningekuwa mie nampotezea naamua kutokujali vitendo vyake naondoa care kwake about 90% ili ajione he is nothing then ndo ataanza kupay attention kwako... jaribu hiyo best utaona anaanza kujirudisha mwenyewe au asiporudi mind your own business na kama hajatulia, kampime ngoma na mwambie asijekukuua mtumie Dawa Ya PeNzI
 
Back
Top Bottom