Naichukia ndoa yangu..

Mimi nakupa haya maneno matamu............utulie

Almost every marriage starts out as a huge celebration. Together with their family and friends, each couple is full of hopes and dreams for their future life together. But the road to a happy marriage is far from easy. And as today's divorce statistics demonstrate all too well, many couples opt not to complete the journey.It would be easy to blame our high rate of marital failure on things like not spending enough quality time together, allowing bitterness and resentment to build in our hearts and failing to keep communication lines open. There's no end to books, articles and seminars that tell you how to improve these and many other aspects of your relationship. But while quality time, forgiveness and communication are vitally important to creating a happy marriage, if such things aren't happening, it's usually a sign of a much deeper problem. And until this problem is addressed, no amount of external behavior modification will work.To get a hint of what this deeper issue might be, let's take a look at the following Scripture passage:

One of them, an expert in the law, tested him [Jesus] with this question: "Teacher, which is the greatest commandment in the Law?"
Jesus replied: "'Love the Lord your God with all your heart and with all your soul and with all your mind.' This is the first and greatest commandment. And the second is like it: 'Love your neighbor as yourself.' All the Law and the Prophets hang on these two commandments." (Matthew 22:35-40)

I believe that virtually every marital problem can be traced back to one or both partners failing to abide by these two laws. The same is true of any relationship. The minute we begin to focus on our own wants and needs over those of God or our partner; we're destined for trouble.
Experiencing communication problems in your marriage? How often do you really focus on listening to what your partner (or God) has to say instead of insisting on more airtime? Feeling bitterness and resentment growing toward your partner? When was the last time you brought him or her before the Lord in prayer and truly thanked God for your relationship? Struggling to find quality time together? How about praying with your partner and asking God how he would like you to use your time?

As you begin to do these things, you'll notice that your focus automatically starts to shift away from you and your desires and over to God and your partner. As a result, communication problems begin to improve, anger and resentment fade away and you naturally want to spend more time together. Of course, you can't expect such changes to happen overnight. Your relationship is also bound to face financial pressures, childrearing issues and other problems that are beyond your control. But if you commit your relationship to God and make a conscious decision each day to put God and your partner first, your marriage will be able to weather any storm. Not only that; you'll also have plenty of fun together along the way!Have you struggled to find happiness in your marriage? Perhaps it's time you and your spouse invited God to direct your relationship. If you would like to do so, we encourage you to pray the following:

"Dear God, thank you so much for bringing us together as a couple. We know that you have a plan and a purpose for our marriage, and we invite you to forgive the past self-centeredness, come into our lives and relationship and direct our steps from now on. Please give us the grace to put you and each other first every day. Make our relationship a blessing to others. But most of all; make it a blessing to you. Amen."
 
Kama ni kweli anayoyasema huyu mama naona yeye ndiye mwenye tatizo maana anatafuta jinsi ya kupunguza penzi na si jinsi ya kuokoa.Nashauri yeyote anayemshauri azingatie hilo.
 
Kama ni kweli anayoyasema huyu mama naona yeye ndiye mwenye tatizo maana anatafuta jinsi ya kupunguza penzi na si jinsi ya kuokoa.Nashauri yeyote anayemshauri azingatie hilo.

Inabidi awe 50/50 siku akikuta condom kwenye suruali imetumika si atakufa kwa shell huyu
 
Bibie upendo wakweli haujivungi mwaya

zaidi hapo muombee mumeo kwa Mungu aweze badilisha tabia yake

Wanaume wa sasa hivi spana mkononi ndugu

Unaweza sema uachane na huyu, utakutana na mwingine yupo mara 100 ya wa mwanzo,

vumilia bibie ila kuhusu vidumu usijaribu, utajiharibia mfumo wako wote wa maisha.

mmmh......:shock:
 
Piga magoti kwa muumba muombee abadilike, Ndoa ni furaha na siyo karaha,

Jitahidi kupuuzia anayokufanyia,jipendee mamy, weka kando yoteee yanayokusononesha, jisemehe mwenyewe sitaki kuumia tena.
 
Pole sana Condoreza labda na wewe umekuwa mwanasiasa sana....
Umevumilia miaka nane ya ndoa ni mingi sana ..jaribu kumuweka kitako na uongee nae,Lakini pia usisahau kumshirikisha mwenyezi mungu
 
Piga magoti kwa muumba muombee abadilike, Ndoa ni furaha na siyo karaha,

Jitahidi kupuuzia anayokufanyia,jipendee mamy, weka kando yoteee yanayokusononesha, jisemehe mwenyewe sitaki kuumia tena.

Kesha sali sana na kufunga sana kesha ombewa sana mambo magumu.

Atafute plan B aweze kupooza mtima wake angalizo (mm mwenyewe nipo tayari kumpa faraja mama Clea)
 
hommie.......usipotee ivo bana...
!
hahaha mbona nipo hommie tunapishana tu huku! C unajua tena c kuhizi chama kipo ki underground zaidi?
BTW hakuna wanachama wapya?

Back to ze topic, hebu mshauri dada Condoliza maana Jamaa kupendwa kwakwe anaouna dili kumuumiza dada wa watu!
 
hahaha mbona nipo hommie tunapishana tu huku! C unajua tena c kuhizi chama kipo ki underground zaidi?
BTW hakuna wanachama wapya?

Back to ze topic, hebu mshauri dada Condoliza maana Jamaa kupendwa kwakwe anaouna dili kumuumiza dada wa watu!

wapya wapo wapo hommie cheki na ODM ndo ana rejista...

jamaa hajiumizi sema mama clea anajiumiza mwenyewe kwa kufikiria mambo ya kufikirika, yasiyokuwepo. mabadiliko yanatakiwa yaanzie kwake zaidi...I mean ajitazame.....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom