Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel amjibu Fr. Kitima kuhusu Corona. Amkosoa na kumuelimisha maana ya UKWELI

Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.

Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.

Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.

Karibu.

Updates;
Anamjibu Padre Dkt. Kitima kama Kitima au Kanisa Katoliki kupitia TEC yao? PhD ya Dkt. Kitima haiwezi Kujibiwa Kipumbavu na Kishamba hivi kama afanyavyo huyu Msaidizi wenu wa Wizara kwa Maagizo ya Mteule wake anayetapatapa tu sasa.
 
Kumuuliza Mollel(sijaandika Dr. kwasababu wamekana taaluma zao) atoe takwimu za Covid ni sawa na kutafuta bikira kwenye wodi ya Wazazi waliojifungua bila operesheni.
Mfano wako kichekesho! Kwani wakijifungua kwa operesheni bikra zinakuwepo? Mimba iliingiaje? Anyway, hiyo ni nje ya mada. Hoja ya msingi tumepatikana; tuna la kujifunza kuanzia hao viongozi wa dini.
 
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.

Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.

Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.

Karibu.

Updates;
Anatumia nguvu nyingi sana kutetea ujinga wake!
 
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.

Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.

Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.

Karibu.

Updates;

Hii Wizara kweli imepatikana. Hao mabosi wawili ni burdan tosha kuwaangalia tu. Huhitaji kusikia wanachosema; bila shaka walishasahau taaluma zao siku nyingi. Na sasa inabidi wawe na tahadhari. Masuala ya corona ni nyeti sana. Yamezingirwa na landmines.
 
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.

Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.

Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.

Karibu.

Dr Mollel anasema ni kawaida kwa kipindi cha November hadi March kila mwaka wagonjwa wenye matatizo ya kupumua, pumu na nimonia kuongezeka hata wananchi wakiangalia takwimu watagundua hilo.

Mollel anadai Dr Kitima ameongea kama mwanasheria ndio maana hoja zake zimejaa kasoro nyingi sana lakini yeye anajaribu kumuelimisha kama mwanasayansi.

Mollel anasema takwimu za Fr Kitima za vifo vya mapadre 25 na watawa 60 havina uthibitisho wa kisayansi kwamba vilitokana na Corona. Mollel anadai hata vifo vya mwaka jana vingi vilitokana na maradhi mengine kama vile magonjwa ya moyo na waathirika kuogopa kwenda hospitali wakihofia Corona.

Mwisho waziri Mollel amewataka wananchi waendelee kujifukiza kwani dawa kama mkaratusi ni tiba nzuri.

Dr Mollel ameulizwa maswali mengi lakini mengine ameyajibu kisayansi, mengine kisiasa na wengine kiblia.

Kwa mfano Dr Mollel amesema Mungu alipomuumba binadamu alimuwekea dawa zote ( mitishamba) katika bustanu ya Eden.
Na baadae akampa mwanadamu sayansi kwa ajili ya kuitawala dunia.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama
Eti nini, maabara?
Toka mach mwaka jana hiyo maabara ya danganyika ina takwimu zipi kuhusu korona?
Kweli hii serikali ya awamu ya tano taifa limeingia chaka.
 
Kazi imeanza, wamejipanga kumtukana fr, Dr Kitima kwa kusema ukweli, ili kumfuraisha Jiwe maana kachukia sana ile taarifa.
M/Mungu akulinde fr, Dr Kitima
mungu yupi sasa aisee,
Huyo aliyemkasirikia katibu wa TEC au?
 
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.

Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.

Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria kwa sababu katika utabibu Ukweli unapatikana Maabara na siyo kwingineko.

Karibu.

Dr Mollel anasema ni kawaida kwa kipindi cha November hadi March kila mwaka wagonjwa wenye matatizo ya kupumua, pumu na nimonia kuongezeka hata wananchi wakiangalia takwimu watagundua hilo.

Mollel anadai Dr Kitima ameongea kama mwanasheria ndio maana hoja zake zimejaa kasoro nyingi sana lakini yeye anajaribu kumuelimisha kama mwanasayansi.

Mollel anasema takwimu za Fr Kitima za vifo vya mapadre 25 na watawa 60 havina uthibitisho wa kisayansi kwamba vilitokana na Corona. Mollel anadai hata vifo vya mwaka jana vingi vilitokana na maradhi mengine kama vile magonjwa ya moyo na waathirika kuogopa kwenda hospitali wakihofia Corona.

Mwisho waziri Mollel amewataka wananchi waendelee kujifukiza kwani dawa kama mkaratusi ni tiba nzuri.

Dr Mollel ameulizwa maswali mengi lakini mengine ameyajibu kisayansi, mengine kisiasa na wengine kiblia.

Kwa mfano Dr Mollel amesema Mungu alipomuumba binadamu alimuwekea dawa zote ( mitishamba) katika bustanu ya Eden.
Na baadae akampa mwanadamu sayansi kwa ajili ya kuitawala dunia.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama
Lala wewee
 
Eti nini, maabara?
Toka mach mwaka jana hiyo maabara ya danganyika ina takwimu zipi kuhusu korona?
Kweli hii serikali ya awamu ya tatu taifa limeingia chaka.
Mwongozo wa wizara ya afya utatoka hivi karibuni!
 
Back
Top Bottom