Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
ELIAS MSUYA wa gazeti la mwananchi ndiye mwandishi wa habari hiyo na amelipwa fedha na watu kadhaa kumchafua mbunge wetu tutapambana naye
Heeh! hayo tena makubwa. cha msingi tu uwe na ushahidi wa hicho unachokisema