JINA HALISI: Philipo Augustino Mulugo
ELIMU: "FAILURE" Darasa la Saba, 1988
JINA FEKI: Hamimu Hassan
ELIMU: Darasa la Saba, 1989 (Baada ya kufeli mwaka 1988)
JINA FEKI: Hamimu Augustino
ELIMU: "O-Level" 1990~1993
JINA FEKI: Hamimu Mulugo
ELIMU: "A-Level" 1994~1996
JINA FEKI: Dick Aron Mulungu
KAZI: Mwalimu katika Shule ya Sekondari ya Southern Highlands. Hii ni baada ya kutumia vyeti vya rafiki yake aitwaye Dick Aron Mulungu ili kupata kazi ya ualimu. Pamoja na kutokuwa na cheti cha ualimu, aliteuliwa kuwa "headmaster" baada ya mmiliki wa shule hiyo kufariki.
LEO HII: Philipo Augustino Mulugo ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Jamani kuteua waziri wa elimu ambaye kwanza ameishia standard seven lakini akaiba jina hadi akafika foorm six, pili hiyo form six alipata div.four, tatu alifeli standard seven hivyo akaiba jina la mtu, nne ameghushi vyeti ili kujipatia ajira. Kikwete kumteua mtu kama huyu ktuwa Naibu waziri wa elimu alifanya MAAMUZI MAGUMU SANA
APPRECIATION😛ost hii ni kwa hisani ya Bushman (senior JF Expert Member).