Naibu waziri elimu achemsha tena Mbeya

Naibu waziri elimu achemsha tena Mbeya

BURE KABISA WEWE.....
SO WHAT?

#my take:INA MAANA TANGU AMEFIKA HAPO CHUONI ALIONGEA HILO TU?
MBONA HUTUAMBII NA MENGINE MAZURI NA YALIYOKUNUFAISHA?

BY THEN SITAKI KUAMINI SANA KAMA ALIONGELEA HILO SUALA KWANI HICHO KIKAO HAKIKUWA KWA AJILI YA KUDAI NYONGEZA NA MAPUNJO YA MISHAHARA YA WALIMU LABDA KAMA SIFAHAMU VIZURI MASUALA YENU KIASI YA KUTOKUWA NA MADA HUSIKA KWA MKUSANYIKO HUSIKA.(i.e kwenye kusahihisha mitihani azungumzie mishahara,hainiingii sama akilini) LABDA TUSEME UNA CHUKI ZAKO TU BINAFSI.
 
habari wana jf,

kwa mara nyingine tena ndugu philipo mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

wawe wanaweka nani wakati nawe upo na ni mwalimu pia?
 
Mnapoteza muda kumtungia maneno ya uongo mhe, Mulugo, watanzania wanajua the way anavyo pambana na uboreshaji wa elimu nchini, mistake ameumbiwa mwanadamu, Mulugo goooooo goooooo my leader
 
BURE KABISA WEWE.....
SO WHAT?

#my take:INA MAANA TANGU AMEFIKA HAPO CHUONI ALIONGEA HILO TU?
MBONA HUTUAMBII NA MENGINE MAZURI NA YALIYOKUNUFAISHA?

BY THEN SITAKI KUAMINI SANA KAMA ALIONGELEA HILO SUALA KWANI HICHO KIKAO HAKIKUWA KWA AJILI YA KUDAI NYONGEZA NA MAPUNJO YA MISHAHARA YA WALIMU LABDA KAMA SIFAHAMU VIZURI MASUALA YENU KIASI YA KUTOKUWA NA MADA HUSIKA KWA MKUSANYIKO HUSIKA.(i.e kwenye kusahihisha mitihani azungumzie mishahara,hainiingii sama akilini) LABDA TUSEME UNA CHUKI ZAKO TU BINAFSI.

Yule ni waziri wa elimu so lazima akiongea na wafanyakazi wake ataongelea vitu vingi vinavyohusu elimu
 
Mnapoteza muda kumtungia maneno ya uongo mhe, Mulugo, watanzania wanajua the way anavyo pambana na uboreshaji wa elimu nchini, mistake ameumbiwa mwanadamu, Mulugo goooooo goooooo my leader

Sio mulugo tunaemjua...kwa elimu hii ya division five?
 
Mulugo ni kichwa.......baada ya miaka michache naye atakuwa na PHD.
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

Tabia za kike zinakera sasa tulikuuliza
 
hawa mawaziri wa ccm MUNGU amewanyima busara
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

Wewe sio verified user Jf hatuwezi kukuamini
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

Kumbe na ww upo kwenye KIMBILIO LA WALIOFELI............??????????????????????????????

Jaman msiwe mnataja sehemu mtapofanyia kazi,mnadharaulika
 
Huyu Mulugo ni wa kuhurumia tu.Maana kila akienda lazima aibue kituko.
 
Back
Top Bottom