Naibu waziri elimu achemsha tena Mbeya

"Tutakuwa tunastukiza kutembelea shule kwa ghafla ili kubaini shule zitakazofanya udanganyifu maana kutibu ni bora kuliko kukinga"--Tamimu Philip Mulugo.
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

Acha kuchezea majembe ya CCM, utapewa kesi bila kutarajia!
 
King Kong III;
Tutakuwa tunastukiza kutembelea shule kwa ghafla ili kubaini shule zitakazofanya udanganyifu maana kutibu ni bora kuliko kukinga"--Tamimu Philip Mulugo.

duuuh mkuu umenivunja mbavu,,,na hyo ni yake? full kilaza...
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.
Hizi ni mistake za kawaida tu katika kuzungumza. Kama mtataka msahihishe neno kwa neno mbona basi watu wataogopa kuongea mbele za watu? Kuna vitu vingine ni vya kuviignore, siyo lazima tujadili kila kitu!
 
Habari wana jf,

Kwa mara nyingine tena ndugu Philipo Mulugo akiwa ametembelea kituo cha usahihishaji mitihani kidato cha pili chuo cha ualimu Tukuyu akiwasihi walimu kuwa wanapoomba mapunjo ya mishahara yao wawe wana-atach salary slips zao.

Yeye akasema wawe wanaweka bank pay slips zao.

Hii ni wazi kuwa tunaongozwa na watu wasiokuwa na weledi wa kutosha.

Source;mimi mwenyewe nikiwa hapa chuoni ku-mark.

Hivi watoto wa mulugo wakoje? Maana nikifikilia "like father like son" nachoka.
 
King Kong III;
Tutakuwa tunastukiza kutembelea shule kwa ghafla ili kubaini shule zitakazofanya udanganyifu maana kutibu ni bora kuliko kukinga"--Tamimu Philip Mulugo.

Hebu tuacheni utani jamani ni kweli hii nayo ameisema ? Basi naenda kuteta na mkuu wa kaya huyu jamaa apumzishwe kwa maslahi ya watoto wetu na taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom