Naibu Waziri apata ajali mbaya

Asante sana kwa taarifa Invisible! Let both of them get well soon and back to work.
 
Umenishtua duh kumbe anatembe kabisa? Sio mbaya bana atakua alikosa kuku wa kijani tanbiko halijatimia
 
vasco naye angepata ajali kidogo, mwe! aone tumbi palivyo before kupelekwa viwanja! pole zao lakini!
 
Nini sababu ya ajali?

Nyani Ngabu, ni afadhali ungeuliza kwa ki-english ambacho umekizowea (Hongera kwa hilo). Nina hakika ungeandika kitu sahihi kabisa. Unachotaka kujua ni chanzo cha ajali na sio sababu ya ajali. Umefanya direct translation. Tumekuelewa lakini.
Natoa pole kwa Naibu Waziri na namwombea dereva apone haraka.
 
Unaweza kabisa kuuliza nini kimesababisha hiyo ajali (ambayo ndiyo sababu) na ukiuliza pia nini chanzo cha ajali nayo ni sawa pia. Katika lugha mara nyingi huwa hakuna njia au namna moja tu ya kuuliza ama kuunda sentensi. Kama umesoma isimu matumizi na isimu elekezi utakuwa unalitambua hilo.
 
Acha udini mzenji so what? hata angekuwa mpimbwe.... la msingi ni kwamba ni binadamu mwenzetu anastahili pole na dua zetu.
 
Unaweza kabisa kuuliza nini kimesababisha hiyo ajali (ambayo ndiyo sababu) na ukiuliza pia nini chanzo cha ajali nayo ni sawa pia. Katika lugha mara nyingi huwa hakuna njia au namna moja tu ya kuuliza ama kuunda sentensi. Kama umesoma isimu matumizi na isimu elekezi utakuwa unalitambua hilo.

Nadhani tatizo langu litakuwa hapo kwenye red. Asante kwa ufafanuzi. Barikiwa!
 
Back
Top Bottom