Digitali
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 424
- 91
Ndugai usitafute kichaka si kweli kwamba umechoka kuadhibu wabunge isipokuwa una upendeleo wa wazawazi mmbunge wa CHADEMA akimiss behave (kwa tafasiri zako) you so judgmental and quick to take action!
Hivi lipi ni kosa kubwa kati ya mmbunge anayeomba mwongozo wa spika kwa utaratibu dhidi ya tuhuma za uongo zinazotolewa na mmbunge mwenzake na Mbunge anayekuja ngumi na kutukana waziwazi na kuchana nyaraka
Ni wabunge wangapi wa CUF, CCM wamefanya makosa na kiti chako kikapotezea na kutochukua hatua
Look, Bunge linakanuni za utaratibu hatuhitaji sympathy yako fuata kanuni, usifungwe na u CCM kuwa huru. Mzee SITTA ni hardcore mkubwa wa CCM, enzi zake hakuwa judgmental alikuwa huru na aliwapa huru wabunge kuibua na kujadili.
Kwa nini ufungwe na itikadi za chama chako, Let them talk, let them defend themselves wewe ni Naibu spika fanya kazi yako ya unaibu spika