HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
hoja dhaifu sana tunakutaka uombe radhi kwa yale uliyowafanyia wabunge wa cdm ili uonekane shujaa kumbe ni kuficha udhaifu
Umekuwa msemaji wa ndugai siku hizi auni personal secretary wake au umejisikia tu kuleta hiki ulicho leta.
Wabunge wa awamu hii wamesahau kilichowapeleka bungeni(mambumbumbu)
Wamekuibia mke nini!!! Uwe muwazi.Wabunge wa chadema majanga tupu.
Huyu Ndugai anapaswa kujiuzulu,kazi imemshinda!
Umekuwa msemaji wa ndugai siku hizi auni personal secretary wake au umejisikia tu kuleta hiki ulicho leta.
Sasa tutawajua Waliberali vizuri humu. Mwingine huyu ...mnapenda KUTUKANWA ILI MJULIKANE NA KUGEUKA MASHUJAA.... hapo kawapigilia msumari kwenye ............... na ninadhani umewaingia vizuri na kuwachoma
Hajasusa, anakumbuka yaliyo mkita jimboni kwake baada ya kuwafukuza wabunge wa cdm bungeni. Cdm ni number nyingine.
cuf si walifanya vurugu jaba awape adhabuu sasa tuone