Naibu Spika: Sitamgusa Mbunge yeyote

Naibu Spika: Sitamgusa Mbunge yeyote

Wabunge wa awamu hii wamesahau kilichowapeleka bungeni(mambumbumbu)

wengi tuliamini kuwa coz idadi yao imeongezeka basi hakutakalika huko bungeni badala yake imekuwa viroja.jamani mbona bunge lililopita kina Slaa na wengine waliichachafya serikali bila kufanya fujo na tuliona kuna kipindi serikali yote ilitamani kulia?Kamanda Mbowe dhibiti nidhamu ya hao vijana itafikia kipindi wenye akili zao timamu watawadharau.
 
Back
Top Bottom