Naibu Spika: Sitamgusa Mbunge yeyote

Naibu Spika: Sitamgusa Mbunge yeyote

Ndugai ni mnafiki tu hapa hana ujanja kwa vile vurugu zimefanywa na CUF zingekuwa zimefanywa na Chadema tungesikia wabunge kadhaa wamefukuzwa. Jana Mnyika aliomba mwongozo kuuliza double standard ya hukumu za bunge, Ndugai alivyojibu ilitia kichefuchefu eti kuna aina mbili za kuhukumu matukio hayo.
 
Mh. Ndugai pia amevitupia lawama vyombo vya habari kwa kuvibeba vyama vya upinzani!
 
Ndugai ni MUONGO tena mkubwa, I bet my neck kama wangekuwa ni wabunge wa CDM ndiyo wangekuwa wamechana NYARAKA halali za Bunge na kufanya FUJO kama tulivyoshuhudia jana Wabunge wa CUF wakisaidiwa na wenzao wachache wa CCM, Believe me ANGEWACHUKULIA HATUA KALI ikiwa ni pamoja na kuwatoa ndani ya ukumbi wa bunge pamoja na kuwafungia vikao kadhaa vya BUNGE.

Lakini kwakuwa waliofanya hivyo ni washirika wa li-chama chake CUF, na ni kawaida MME kumurushia MKE taulo, ndiyo maana Ndugai alifunika kombe ili mwanaharamu apite.

CDM msidanganyike na hii KAULI ya Ndugai ni kutaka kuwaingiza KING. Tunaomba hiyo KAMATI ya maadili ya BUNGE itende haki. Kama alichokisema Wenje ni uongo au ukweli. Maana nyaraka na ushahidi upo kwamba CUF na member wa ma-liberal na Mrengo wa Ma-liberal ni kutetea ndoa za jinsia moja, ushoga na usagaji. CUF imekuwa ikipokea misaada kutoka kwa vyama vya kileberal. CALL A SPADE A SPADE, NOT A BIG SPOON. Hongera CDM kwa kutufumbua macho.
 
Narudia kusema hapa kwamba bunge letu linapotoshwa kwa kuwa na kambi za vyama ndani yake. Bunge linabaki kuwa uwanja wa kujenga vyama vya siasa badala ya kuwa chombo cha kusimamia utendaji wa serikali na kuishauri.

Jamani tuondoe kambi bungeni bunge liwe moja kusimamia rasilimali za taifa, bunge liwe moja kusimamia mapato na matumizi ya serikali, bunge liwe moja kusimamia utendaji wa watumishi wa umma. Vyote hivi tuko katika hali mbaya sana lakini bunge limejikita katika kusapoti na kutoa hoja za kivyama ndani ya ukumbi wa bunge. Bunge lilipoteza mwelekeo wake tangu zamani. Pengine ni wakati wa kurekebisha
 
Mods wameondoa thread yangu yenye mada hii sijui tatizo ni nini msishangae na hii ikitoweka. Tunaendelea. Mnadhimu wa kambi ya upinzani Mh Tundu Lisu alipohojiwa juu ya kauli hiyo ya naibu spika alijibu kuwa Ndugai anashindwa kuchukua hatua sababu walioanzisha vurugu sio Chadema, alipoulizwa aoni kuwa vitendo vyao vya kutukanana vinaweza kuhatarisha amani hata njeya bunge, amejibu kuwa wa kulaumiwa ni uongozi wa bunge kwa kuendesha kwa upendeleo, ametolea mfano yeye alipewa adhabu ya kusimamishwa siku 5 bila kufuata kanuni wakati kuna mbunge alitukana matusi ya nguoni na hakuchukuliwa hatua kwa kilichobaki bora liwalo na liwe lakini wataendelea kudai haki na kulinda taratibu zinazovunjwa.
 
Narudia kusema hapa kwamba bunge letu linapotoshwa kwa kuwa na kambi za vyama ndani yake. Bunge linabaki kuwa uwanja wa kujenga vyama vya siasa badala ya kuwa chombo cha kusimamia utendaji wa serikali na kuishauri.

Jamani tuondoe kambi bungeni bunge liwe moja kusimamia rasilimali za taifa, bunge liwe moja kusimamia mapato na matumizi ya serikali, bunge liwe moja kusimamia utendaji wa watumishi wa umma. Vyote hivi tuko katika hali mbaya sana lakini bunge limejikita katika kusapoti na kutoa hoja za kivyama ndani ya ukumbi wa bunge. Bunge lilipoteza mwelekeo wake tangu zamani. Pengine ni wakati wa kurekebisha

Nimeyapenda maoni yako, ki ukweli ushabiki wa vyama unaliteketeza hili taiea hata huu uhasama wa kidini unaoanza kushamili kwa sasa ni matokeo ya tofauti za vyama vyetu vya siasa.
 
Wakifanya hawa, anachukua hatua, wakifanya wale, anasema hatachukua hatua tena. Huu mtindo wa kusema "kuanzia leo ...." una maana hakuna kanuni zinazoeleweka bungeni, au kanuni zinapindishwa ili kuwaadhibu baadhi na kuwakwepeshea adhabu baadhi. Usishangae kesho Ndugai akasema "kuanzia leo mbunge atakayetukana namwitia askari", halafu akawa anasikilizia ni nani atafanya kosa hilo ili either achukue hatua au abatilishe kanuni!
Jabulani: Hapo kwenye red. Hata mama Kiroboto alisema hivyo hivyo wakati akikataa kufuta adhabu ya kuwafungia wabunge wa chadema. Akasema kuanzia leo adhabu hii itaingizwa kwenye kanuni ili itumike kwa wabunge wengine. NADHANI WALIFIKIRI watakuwa chadema tena. Ila mehi imegeuka na safari hii ni wapenzi wao cuf. Zaidi sana ikawa ni naibu spika yule yule aliyetoa adhabu ya siku 5. Kosa lilelile lakusimama na kuzuia shughuli za bunge kuendelea ila maamuzi tofauti.
 
Atupishe nae....kwani bunge linaendeshwa kwa kanuni au matakwa yake? Kama yameshindikana si ajiuzulu tu, au 'sheria' inakataza spika kujiuzulu?
 
Afuate kanuni aache mambo ya kususa hayo ni ya kike.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tatizo la Ndugai ni unafiki, na unafiki ndio unaomponza kila akikalia kiti vurugu zinaibuka bungeni, kwa sekeseke la jana hakika kama ingekuwa chadema ndo wamefanya zile fujo, askari wangeitwa kuwatoa nje na kusimashwa juu, eti hata mgusa mtu, unakimbia kimvuli chako ndugai, nafasi ile huiwezi uko ki-chama zaidi na si kuliongoza bunge liisimamie serikali
 
Haya sasa ni maajabu!!
Bunge linapaswa kuongozwa na kanuni na wala sio kwa utashi wa kiti cha spika.
Spika ni msimamizi wa kanuni za bunge, sasa kama anashindwa kusimamia kanuni, kuna haja gani kwa yeye kuendelea kukalia kiti cha spika?

Hana lolote huyo ndugai.
Yeye anajua kuwaadhibu wabunge wa CHADEMA tu tena pasipo kosa lolote.
Mbunge wa CCM au CUF akikosea haadhibiwi wala haonywi, mfano ni fujo za jana bungeni, ilipaswa wale wabunge wa CUF na CCM waadhibiwe, lakini kanywea.

Kiti cha spika kimeliharibu kabisa bunge.

So pathetic mkuu.

Nimemsikiliza Radio One sikuamini. Yaani tunaongozewa bunge kwa hisia badala ya kanuni. Kiongozi kuongea kwa jazba na hisia namna ile ni maajabu. Anaonekana ana fundo hasa moyoni mwake.

Kwa upande mwingine huu ni utaratibu wa kuwanusuru WAOKOA JAHAZI. Haiwezekani mbunge achane hotuba hadharani na asichukuliwe hatua. Na kinachommaliza Ndugai ni unafiki, anasema tangu sasa atahukumu CCM peke yake, ni lini aliwahi kuwahukumu hapo zamani?

Walikimbilia kazi wasizozimudu, changamoto kidogo tu anasusa kama mama Tupele wa Vingunguti mkimsumbua foleni ya vitumbua. Siamini kama bunge lingekuwa loose namna hii kama Sitta angekuwa Spika, hili la wanawake limetawaliwa na kususa
 
Haya sasa ni maajabu!!
Bunge linapaswa kuongozwa na kanuni na wala sio kwa utashi wa kiti cha spika.
Spika ni msimamizi wa kanuni za bunge, sasa kama anashindwa kusimamia kanuni, kuna haja gani kwa yeye kuendelea kukalia kiti cha spika?

Hana lolote huyo ndugai.
Yeye anajua kuwaadhibu wabunge wa CHADEMA tu tena pasipo kosa lolote.
Mbunge wa CCM au CUF akikosea haadhibiwi wala haonywi, mfano ni fujo za jana bungeni, ilipaswa wale wabunge wa CUF na CCM waadhibiwe, lakini kanywea.

Kiti cha spika kimeliharibu kabisa bunge.

CCM+CUF+CDM.jpg
 
tundu lisu aliadhibiwa vilivyo kwa kuomba mwongozo.
SERUKAMBA na NKAMIA wao hawakufanya kosa machoni pa spika(---- you-serukamba,siongei na mbwa-nkamia)
CUF nao hawakufanya kosa machoni pa spika.
UPENDELEO HUU UNAONEKANA KUWALINDA waziwazi CCM na CUF
AYA BHANA.

Uliberali=usagaji,ushoga,ndoa za jinsia moja(minority right according to liberal)

Uliberali + CUF=??????

sasa inabidi watueleze ni kwa namna gani unaweza kuwa mwanajumuia katika jumuia inayotetea ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja alafu UFANYE TOFAUTI NA MALENGO YA JUMUIA HIYO YA ULIBERALI?

kama CUF hawatetei na kukubali msimamo wa ushoga kwa nini hawakuwaambia wamajumui wenzao?Na wangekuwa wamepoteza sifa za kuwa waliberali.NA HATA HELA WALIZOCHUKUA WASINGEPEWA.

KAMA CUF itaendelea kuwa ktk umoja huu HAIWEZI KUTENGANISHWA NA MALENGO YA WALIBERALI BALI itafungamanishwa.

USHAURI WANGU CUF wajitoe kwenye umoja huo mana inajulikana wazi kuwa ni UMOJA WA VYAMA VYA KISIASA VINAVYOTAMBUA NA KUTETEA USHOGA,USAGAJI NA NDOA ZA JINSIA MOJA
 
kanuni za bunge zipo! Anashindwa kuchukua hatua hasa kwa wabunge wa CCM na mashosti wao CUF!

Ameshindwa kuongoza Bunge! anangoja nini kuachia kazi??
 
Back
Top Bottom