Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

Nadhani hizi ni story za kuanzia utoton kwani nakumbuka zamani tulikuwa tunaamini ukipaka majimaji ya lile tunda liliokuwa na tumika kama dodoki...Basi kitu kitakuwa ukubwa huo...Jamaa angu mmoja ye akajitosa akapaka kumbe yale maji maji ya lile dodoki yasumu flani jamaa alivimba kitu kama vile kang'atwa na nyuki hiyo balaa ilienda ishia hospitali....

ahahaaaa
mdau umenikumbusha mbali
sana
bila shaka tunda
lenyewe ni hili hapa

mtiii.jpg
MVUNGE.jpg
dr+mkombozi.JPG
 
KUNA MTI WA ASILI UNAITWA AFRICAN SAUSAGE TREE KWA KISWAHILI NI MDODOKI (scientific name yake ni kigelia africana) matunda yake yanafanya kazi nzuri sana kwa wenye vibamia, IKISHINDIKANA APIGE PU MBU SANA KWA KUTUMIA ILE LAW OF USE AND DISUSE (The more you use the more it develop):poa:poa

mti wenyewe una matunda haya

IMG_1659.JPG
IMG_1655.JPG
 
masai dada Ukipatiwa hii utahitaji na yakuongeza uke pia ili mfanye colabo inayoeleweka na bwashee..!
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za Kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kazi vizuri kabisa.

Mmi binafsi nishawai kufanya mchakato wa kuongeza maumbile na nmefanikiwa sana

Sema ttzo kuna kipindi inasumbua sana mashine kipnd cha kusimamisha unakua na nguvu ndogo sna tofauti na mwanzo
 
Mmi binafsi nishawai kufanya mchakato wa kuongeza maumbile na nmefanikiwa sana

Sema ttzo kuna kipindi inasumbua sana mashine kipnd cha kusimamisha unakua na nguvu ndogo sna tofauti na mwanzo
mpaka sasa ni mkubwa? ila tatizo umepata lingne
vip ulitumia nin?
 
Back
Top Bottom