mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,032
aiseee tuwe wakweli HAKUNA lakini kama hakuna mbona hayo matangazo na bidhaa wanazodai ni za shughuli hizo zinazidi???
Basi kataa, umedai ushuhudi nimekupa, bado hutaki loh
aiseee tuwe wakweli HAKUNA lakini kama hakuna mbona hayo matangazo na bidhaa wanazodai ni za shughuli hizo zinazidi???
share with us please
bila kuongopa
Basi kataa, umedai ushuhudi nimekupa, bado hutaki loh
hivi jambazi sio jina la kike?? au hamna jambazi mwanamke??Mleta uzi ni mwanaume na anatumia jina la kike! jf member mark my word
Wewe dada na thread zako halafu huu mwezi mtukufu.
okey sasa kama ukinyoa inaongezeka tangu umebalehe mpaka leo si ungekua mjeledi wa maanaNini ikagoma?
![]()
Mleta uzi ni mwanaume na anatumia jina la kike! jf member mark my word
Mleta uzi ni mwanaume na anatumia jina la kike! jf member mark my word
nilijua tu lazima useme kwa kalumanzila tena yupo asipojulikana maaana mkuu kama ni kweli huyo mtu aliwapa dawa na mitarimbo ikawa fresh ba tatizo mpaka sasa kabla ya wewe kusema hapa nadhani angekua maarucu tayari maana angekuwa na wateja kama babu wa loliondodawa ipo inategemea n a mtalamu wako, niliowahi kuiona ipo ya aina mbili kuongeza unene au urefu.
kimamtikia ya utabibu jadi,dawa hiyo huwa na mchanganyo wa vitu tofauti, ambapo mtumiaji hutakiwa kupaka huo unga ambao hupakwa kwenye Mtarimbo, na mabadiliko hutokea kati ya wiki 3-6.
lakin ya kupunguza siifahamu, na pia sisi tuliipata kwa Kalumanzila kwa bei ya kawaida.
Hiyo ilikuwa 2013 kule Nyasa. over
kisa nimechinjia baharini pm yako (kidinu
ukweli jambazi
turudi kwenye madavery true..fukunyua thread zake utashangaa..
mi nina ushahidi wa jamaa zangu 2, walitumia dawa za kichina ukaongezeka, shida wanayopata nia kwamba hausimami kama ilivyokuwa awali, kwa sasa wanasimamisha kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu, kifupi wanajuta!!
Haya mambo ni ya kisayansi zaidi watu hawajui tu, ukiongeza size ya uume tegemea ule mshipa wa kusimamisha kitu utashindwa kufanya kazi yake sawa sawa kutokana na kuelewa na extra load. Utashangaa kitu ilikuwa inasimama juu kama vile inakuangalia wewe mwenyewe, halafu ghafla bin vuu ngoma inakuwa tepetepe hadi inashindwa kupenetrate, so frustrating!!! unaanza kuwa unatafuta wenye rambo labda ndo hupati shida kitu kupenetrate