Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
nilijua tu lazima useme kwa kalumanzila tena yupo asipojulikana maaana mkuu kama ni kweli huyo mtu aliwapa dawa na mitarimbo ikawa fresh ba tatizo mpaka sasa kabla ya wewe kusema hapa nadhani angekua maarucu tayari maana angekuwa na wateja kama babu wa loliondo
Yamekuwa hayo! Samahani sana, basi Ushuhuda unao mwenyewe!