Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

Uume unaongezeka.ni kama mtu anavyoweza kuongeza ukubwa wa kifua au misuli ya miguu kwa vyakula na mazoezi hivyohivyo na uume.
 
nimeuongeza now nataka kuupunguza
 
kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba
umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kaz vizuri kabisa
Nadhani hizi ni story za kuanzia utoton kwani nakumbuka zamani tulikuwa tunaamini ukipaka majimaji ya lile tunda liliokuwa na tumika kama dodoki...Basi kitu kitakuwa ukubwa huo...Jamaa angu mmoja ye akajitosa akapaka kumbe yale maji maji ya lile dodoki yasumu flani jamaa alivimba kitu kama vile kang'atwa na nyuki hiyo balaa ilienda ishia hospitali....
 
kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba
umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kaz vizuri kabisa

Ruka sana kichura chura.
 
Mkuu shemeji yetu atakuwa sio mmasai make wale jamaa mguu wao wa tatu huwa si wa kitoto.

Haaaaaa wamasai wamejaaliwa lol.. Itabidi nijaribu

BTW nilienda kwa yule Prof aiseee He is the best before and after imekubali saaana.Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom