Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Wanajamvi nimekuwa napita pita kwenye mitandao na mara nyingi unakutana na dawa za kurefusha uume, na kuna wakati uwa unaona watu wametoa ushuhuda kwamba ni kweli uume umerefuka.

Kati ya vitu sijawahi kuviamini ni haya madawa ya kurefusha au kuongeza unene wa uume, uwa naona kama ni kitu ambacho hakipo kabisa, mechanism yake naona kama imekaa kizushi sana, yaani mwanaume ambae ana 40yrs kwa mfano anawezaje kufanya kuongeza kiungo chake kwa urefu au upana? Wakati katika umri huu asilimia 99 ya viungo vya mwili wake vinakuwa havikui tena?

Madawa haya huwa nayahusisha au kuyaona sawa na dawa za kuotesha nywele kwenye upaa, naona kama hivi vitu angalau vinahitajii plastic surgery lakini dawa za kupaka mhuu!

Sasa ikabidi nije kuuliza humu jamvini ni kweli hizi dawa zipo? Maana dunia hatuchoki kujifunza. Pengine mimi nina imani haba tu ila dawa zipo kweli. Je, Ni zipo ni halisi na zinapatikana wapi. Nani ana ushuuda kuwa ameitumia na imetoa matokeo chanya ila na wengine watumie.

Naomba Kuwasilisha
 
Hakuna kibamia inategemea una pesa gani.. waliimba mabantu, hizo dawa zipo zinachofanya ni kuumua nyama wa kiungo ni sawa na zile altmate wanazotumia mabaunsa ili mwil ujae lakini baada ya muda mwili utepeta na misuli kutokukaza tena.

Chamsingi kama unajihisi umbile ni dogo tafuta saiz yako hutajukuta ukjfkria unauume mdogo wanawake wengne by nature wanamatundu hatar mpka unakosa comfdence na unakua ushampenda sana kama ujamuoa pga chin kama ndio shemej ajtahd kufanya mazoez ya Kgel nyonga usogea kdogo na k kubana kulko ww mwanaume kutumia chochote
 
Ushuhuda: katika kutaka kujua ukweli nilijaribu kutumia dawa za kichina za kurefusha na kunenepesha dushe. Ni kweli dushe liliongezeka urefu na unene likawa kama limevimba. Cha ajabu baada kufanya shughuli niliyokusudia kutumia urefu na unene huo dushe lilirudi hali yake ya kawaida lilivyoumbwa. Hakuna kitu pale ni kujisumbua bure kumeza na kupaka dawa hizo. Ninavyojua ukubwa wa dushe hutegemea homoni na ukuaji wa seli za mtu tangu mtoto mdogo. Kulazimisha ukubwa wa dushe ni kujitakia matatizo makubwa ya kulazimisha seli zikue bila mpango wake asilia
 
Kwanini usitumie muegea au mzamimu? Uume unarefuka na kuwa steel. Ila unatakiwa uwe na uhakika wa mbususu kila baada ya siku 2 kwa miezi 3.
 
Back
Top Bottom