Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Mada zako ni utata tu siku zote.
Anyway mi mwenyewe ni shahidi, uki-shave size inaongezeka.
hakuna mtu aliwahi kukiri hapa jf ana kibamimasai dada unawasaidia wanaokuja hapa kulalamika wana vibamia!!!!!
Haaaaaa wamasai wamejaaliwa lol.. Itabidi nijaribu
BTW nilienda kwa yule Prof aiseee He is the best before and after imekubali saaana.Ubarikiwe
kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba
umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kaz vizuri kabisa
hivi unadhani wamasai tunasurviv vip dar?Nadhani hizi ni story za kuanzia utoton kwani nakumbuka zamani tulikuwa tunaamini ukipaka majimaji ya lile tunda liliokuwa na tumika kama dodoki...Basi kitu kitakuwa ukubwa huo...Jamaa angu mmoja ye akajitosa akapaka kumbe yale maji maji ya lile dodoki yasumu flani jamaa alivimba kitu kama vile kang'atwa na nyuki hiyo balaa ilienda ishia hospitali....
kama hizi:
1.mwanamke kutembea na kisu....
2.mumeo anaweza kuomba mapenzi kinyume na maumbile
3.punyeto kwa wanawake
4...........
btw im number one fan masai dada
yes dude HOE NOT WH.ORE!
nafurahi paul sipendi kumkwaza mtu mpaka nilazimike but please naomba ushuhudaHahaha ni noma
https://www.jamiiforums.com/mahusia...weza-akaomba-mapenzi-kinyume-na-maumbile.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...wa-mwanamke-usababisha-hisia-za-kusagana.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...unapotaka-kuingia-faragha-na-mpenzi-wako.html
G is my witness, nilivyo-join humu mara ya kwanza nilijua masai dada ni m-mama flani hivi mke wa mtu bana, dah! Siku hizi nacheka tu kila nikimuona mahali.
hahaha na kweli coment ya 30 na kitu hakuna ushuhudaNashuhudia mbele ya Jamuhuri na kwamba niliyosema hapa ni ukweli mtupu sijawai kuona wala kusikia mtu aliyeongeza uume
nafurahi paul sipendi kumkwaza mtu mpaka nilazimike but please naomba ushuhuda
aiseee tuwe wakweli HAKUNA lakini kama hakuna mbona hayo matangazo na bidhaa wanazodai ni za shughuli hizo zinazidi???mi nina ushahidi wa jamaa zangu 2, walitumia dawa za kichina ukaongezeka, shida wanayopata nia kwamba hausimami kama ilivyokuwa awali, kwa sasa wanasimamisha kwa kutumia madawa ya kuongeza nguvu, kifupi wanajuta!!
Haya mambo ni ya kisayansi zaidi watu hawajui tu, ukiongeza size ya uume tegemea ule mshipa wa kusimamisha kitu utashindwa kufanya kazi yake sawa sawa kutokana na kuelewa na extra load. Utashangaa kitu ilikuwa inasimama juu kama vile inakuangalia wewe mwenyewe, halafu ghafla bin vuu ngoma inakuwa tepetepe hadi inashindwa kupenetrate, so frustrating!!! unaanza kuwa unatafuta wenye rambo labda ndo hupati shida kitu kupenetrate
ujawahi jaribu ikagoma??Usiwaze, it's all good.
Ushuhuda kwamba ukinyoa size inaongezeka? Sasa natoa ushuhuda gani zaidi ya maneno yangu?
Dawa ipo kweli na mafanikio yapo