Nahitaji ushuhuda kuhusu kufanikiwa kuongeza uume

Ninaifahamu Dawa Moja Tu! Iliyomsaidia Rafiki Yangu Kipenzi Tulisoma Wote Since Primary Hadi Sec Alikuja Kunieleza Tukiwa Ktk Maandalizi Ya Necta. Pengine Kuna Wengine Wanajua Zaidi Cwez Jua, Ila Hiyo Ilimsaidia Kabisa My Dear Friend Joel(sio Jina Lake Halisi)

Watajie sasa au waona raha kuifahamu tu
 
Kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za Kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kazi vizuri kabisa.
Mtafute Mzizi mkavu humu jamvini utafanikiwa
 
Mbona rahisi sana, fanya mazaoez flani hivi ya misuli ya uume. Unafanya hivi tafuta mafuta ya watoto yale ya baby Johnson alafu unaingia bafuni unaupaka vizuri uume wako then unaanza kuuvuta kama mtu anavokamua ng'ombe maziwa, ukiona uume umekaza sana subiri kidogo ulegee then unaendelea na hatua hiyo hiyo ya kuuvuta vuta kuanzia kweny shina mpaka karibu na kichwa... Fanya huku unahesabu mpaka kumi alafu unapumzika, hivo hivo ukiona unataka kupiz unasubir kwanza fanya kama unaruka ruka hivi ukiona hali imebadilika unaendelea na yale mazoez,
Fanya kwa mwezi Mzima alafu utajishangaa. Kwanza mdudu anakuwa mkubwa na akikaza kakaza kweli balaaaaa
Hii njia ni ya kuikuzisha misuli ya uume na kuufanya uume uwe mkubwa. Kumbuka uume unamisuli kama ilivo kwa mikono ya mwanaume. Jaribu kuangalia mwanaume anaefanya sana mazoez ya kunyanyua vitu vizito misuli yale ilivo ndio hivo hivo hata uume ukiufanyisha mazoez misuli yake inakuwa mikubwa hivo unakuwa mkubwa. Mi nishafanya ila ilifikia kipindi ikabidi niache kwa sababu maalum
 
Wa sweden wana dawa ya kuongeza uume ambauo imethibitika kua na madhara 5% tena miaka 20 mbeleni hivyo wanaume wakiswedenish wanaongezabsn pipe wakifika 35+ lkn pia kuna watu wanadai black seed oil inaongeza upana wa pipe...
 
KUNA MTI WA ASILI UNAITWA AFRICAN SAUSAGE TREE KWA KISWAHILI NI MDODOKI (scientific name yake ni kigelia africana) matunda yake yanafanya kazi nzuri sana kwa wenye vibamia, IKISHINDIKANA APIGE PU MBU SANA KWA KUTUMIA ILE LAW OF USE AND DISUSE (The more you use the more it develop):poa:poa
Kigelia africana acha fix
 
Kumbe ulipata bwana ndo maana ukapotea kwa mda JF!...........pole kwa kukutana na kibamia uso kwa uso lakini!
 
Kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za Kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kazi vizuri kabisa.
piga punyeto bao 4 kwa cku
 
Mimi nimetumia njia ya kufanyia massage uume na ime work size imeongezeka na urefu pia umeongezeka, kuhusu kusimama inasimama kwa spidi kibwa zaidi ya nyuzi tisini ikielekea kwenyekitovu
 
Mimi nimetumia njia ya kufanyia massage uume na ime work size imeongezeka na urefu pia umeongezeka, kuhusu kusimama inasimama kwa spidi kibwa zaidi ya nyuzi tisini ikielekea kwenyekitovu
Elezea hapa ulifanyaje.

Tunahitaji kila kiungo cha mwili kiwe imara
 
Kama kuna mtu alishawahi kuongeza uume au kudhibitisha kwa rafiki au mume wake kwamba umeongezeka kwa njia hizi sijui dawa za Kimasai, handsomeup device na lolote lile na kwamba kwa sasa anafanya kazi vizuri kabisa.
Yanini kuongeza wakati zipo za size tofauti? Tafuta size yako au njoo ujipimie hapa kwangu hutojutia
 
Back
Top Bottom