Mambo mabaya yanasemwa kuhusu Mwamposa

Mambo mabaya yanasemwa kuhusu Mwamposa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,007
Reaction score
6,719
Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa.

Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote.

Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu zinamuathiri Rais.

Huyu Nabii wa heshima, watu wanamsema vibaya.

Mwamposa nadhani bili yake ya ulinzi labda itaanza kuongezeka.

Kuhusu Mwigulu,amepata support ya Kanisa lake katika " kashfa" zilizomfika.

Na Kanisa kama lile likisema Neno linaweza kupata support ili tu kudumisha ecumenism.( umoja wa makanisa).

Lakini haya mambo ya Mwamposa sijui itakuwa vipi.
 
I understand yule mtu ni regular visitor Kizimkazi kwenda kumbariki Rais Samia,
And also, horror of horrors,ni mshauri wa Rais.
 
Mimi nilimstukia kuhusu paka.
Wafuasi wake kila wakipewa microphone,utasikia wanasema: " Paka ( koko)walikuwa wanasumbua sana nyumbani kwangu, lakini nilipopata mafuta siku hizi,Paka wote Chali,na bundi wote Chali"
Nilijua tu kuwaua Paka kutamtokea puani huyu.
Atamjua Bubaste ni nani
 
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
Mathayo 24:24.

1 Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.
1 Yohana 4:1
 
Duniani hapa ukisemwa vizuri jua wewe ni masikini wa kutupwa, kusemwa vibaya ni ishara kuwa unapambana na unaendelea vizuri, giants wa Dunia wote wanasemwa vibaya
Tuache kulishana upepo Mwamposa ni giant wa dunia gani!??!?, au hujui maana ya giant!?, Elon Musk anasemwa vibaya na nani!?,. Google vizuri utaona ma giant wa dunia. Acha kufananisha ma giant wa dunia na vitu vya ajabu.
 
Rais Samia anakuwa a bit careless kuhusu watu anaoshirikiana nao.
Hata Bill Gates aliomba msamaha kwenda Epstein Island.

View: https://youtu.be/Xg6OcHJBtPU?si=U3aJV6NIN-r68oNW

1791418374936.png


YBWYB
 
Back
Top Bottom