Ahsantepole kakangu. na hongera kwa uvumlvu huo. kwan wa2 kama wewe ni wachache mno kkt ulimwengu hu wa ss. ushaur wangu n hu. ka chn na mkeo kama mlizungumzie na kuchukua ha2a ya kuhama mara moja. kama anakupenda kwel hamtashndwa kuchukua ha2a tena una kwako bwana' alaaa' vnginevyo ndugu yangu utaendelea 2 kulalamika!
hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo
Kaka, huyu ndugu yetu nafikiri anatatizo kubwa, na tatizo lenyewe ni kushindwa kutambua haki yake ya kuwa mkuu wa nyumba na ndoa yake mwenyewe kama vitabu vya dini vinavyotanabaisha!
Lakini kwa sasa, maadamu amegundua kuwa hakufanya uamuzi sahihi kuishi ukweni, nafikiri anahitaji sasa kufanya maamuzi ya kiume. Anapaswa kuchukua vilivyo vyake, naamanisha mali zake, mke wake na mtoto wake na kuondoka na kuhamia nyumbani kwake, huko alikojenga. Hakuna sheria ya ndoa inayomlazimisha muoaji kubaki ukweni, huu ni umburura!
Asijidanganye kumuacha mkewe kama bado wanapendana hata kama wazazi hawataki. Mke ni mali yake maana kamtolea mali na pia wanandoa inayotambulika hivyo hakuna mtu aliye juu yao wa kuwapangia mambo yao ya ndani ya familia yao. Anapaswa kusimama kama mtoto wa kiume.
Eiyer, come this way, ujionee ulimwengu ulivyo na mambo!
Nashuku kwa ushauri wako dada yangu, lakini naomba usini chukie
Una uhakika kamtolea mali ?pengine zilitoka kwa baba mkwe pia
kwa hiyo baba mkwe anawalisha familia nzima, na haulipi umeme wala maji. na hauna gharama hata ya hausigelo. usihame bwana. wewe vumilia, kama mnalishwa kama watoto hapo:A S-confused1:
mi unanitia hasira kama vile kakangu ndo anafanyiwa hiv!Ndio mimi Mkuu, ila uwanaume wangu unaishiaga humuhumu JF tu, nikirudi nyumbani Uwanaume wote namkabidhi mwenyewe (baba mkwe) namimi nabaki na uvulana tu.
i cant belive my eyes kwa nilichokisoma ,cary your burden and go man mwambie mkeo kama anakutaka akufuate na baada ya 3month utaoa kama hataleta pua yake,au mtie huyo mwanamke kwa ubwete akilia kwa uchungu utamu baba yake akitoka kuangalia maana bado ni mdogo au kaka zake wachanganyie na wao kwenye game bullshit utakubalije kuolewa mtoto wa kiume wewe proove beyond reasonable doughts that are a gentleman kha