Minaona kabila sio issue. Kuhusu wazazi, walikubali kutokanana na mimi mwenyewe kuwaomba waniruhusu. Mimi ni mwanaume nilie timia ndiomaana mtoto wao kesha shusha injini (nime mzalisha)mkuu ww kabila gan? Hivi wakat unachukua uamuz huo wazaz wako walichukua hatua gan? Hivi ww ni mwanaume uliyekamili kweli? Au ndio tamaa zenu za kutaka mtelemko?
makubwa yaani unapewa chumba ukweni unakubali? mi nilidhani ulipewa bonge la mjumba ...sasa unagegeda vipi? gemu naona mnalipiga kwenye silent mode tena usiku mzitooo...yaani sikupatii picha. ila una moyo aisee...
umejidhalilisha sana ujue..na hao wazazi wako wanaokuja hapo kukutembelea eti hawapo free nawashangaa sana mimi wala nisingerusha mguu hapo kamwe.
nenda kwenu haraka sana
Amna dada yangu, ila
mwanamke akiwa kwao anajiamini kusema/kufanya chochote akitakacho (japo
mke wangu hajawahi kuni fanyia hivyo) kwaimani kua hawizi kupigwa mbele
ya baba/kaka yake akiwa anashuhudia.
ungejaribu kuweka hata paragraph mkuu.........
sasa kinachokuzuia kuhama na mkeo ni nini!!!!!!
hili ingebidi ulitafakari toka mwanzo....uhuru wenu nyie wawili
lazima muukose tu....kaa chin zungumza na mkeo na hiyo familia pia!!!!!
Jamaniiii kwaiyo nyie kila siku game ni chumbani tu! Hamjawahi kujaribu bafuni...jikoni....sebuleni...???/ Unasikitisha sana bro....
Duh!
Kwahiyo kumbe wenzangu munafanya mpaka JIKONI? aah munafaidi kweli.
Inawezekana maana ningumu kuamini mtu mzima kama mimi alafu niendeswe kwa amri ya babamkwe.
Naweza sema kua hii nyumba kilakitu kikochini ya babamkwe kuanzia Chakula, umeme, maji mpa inafikia hatua ananunua nguo kwa wote (watoto wake na sisi wakweze) yani kama tuko kwa baba yetu vilee!. Lakini hivyo Vyote havina thama kama uhuru niutakao. Nahitaji niwe huru niwe nasauti ndani ya ndoa yangu, niwe nauwezo wakuamua chochote kuusiana na mustakabbali wa ndoa yangu bila kuhofu mtu.
Mkeo mdogo, na wewe bado mdogo, kwa taarifa yako NDOA NI BIASHARA , inaonyesha hukuwa na BUSINESS PLAN.Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
Minaona kabila sio issue. Kuhusu wazazi, walikubali kutokanana na mimi mwenyewe kuwaomba waniruhusu. Mimi ni mwanaume nilie timia ndiomaana mtoto wao kesha shusha injini (nime mzalisha)
Mkuu maneno yako yamenifanya nihisi kama Kuna nyembe imenikwama kooni mwangu. Kunasiku niliamka na Msuli nikavaa na singlendi kwa juu nilipo toka nje usokwauso na babamkwe, nasiki ananiambia sipaswi kuvaa mavazi hayo time za hasubuh kwakua mimi sio mwenye nyumba .
makubwa yaani unapewa chumba ukweni unakubali? mi nilidhani ulipewa bonge la mjumba ...sasa unagegeda vipi? gemu naona mnalipiga kwenye silent mode tena usiku mzitooo...yaani sikupatii picha. ila una moyo aisee...
umejidhalilisha sana ujue..na hao wazazi wako wanaokuja hapo kukutembelea eti hawapo free nawashangaa sana mimi wala nisingerusha mguu hapo kamwe.
nenda kwenu haraka sana
Mkuu, mazingira ya hii familia ni yakawaida, labda kama Kuna mengine nyuma ya pazia basi mimi sijui.Mkuu unaweza kusema mazingira ya hiyo Familia kwa maana ya maisha yao kwa ujumla? Manake kuna familia zingine zina maagano flan ss ukiingia hum o.....! Hebu lete habari kisha ntaendelea!