Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

husiwe na akili za mgando my bro,wanasema ukiwa chini ya..kubali kutawaliwa.bro umechemka tangu awali na kama binti alikuwa mdogo basi hasingeolewa na kuja kukumiliki wewe,pili huyo bint hakufanyiwa send off?kama ndivyo alisendiwa kinamna gani?kwakweli si afya saaaana kukaa kwa ndugu wa mwanamke ndo maana wakosa kufanya maamuzi yako binafsi hata upeo wa kufikiri unakuwa finyu.so unasubiri mpaka na wewe upate mjukuu ukiwa hapo?vya bure ndo vilivyo,na kama huyo bint hamkuwa mmefunga ndoa kabisa hivi ulianzajeazaje kuvuta mabegi yako mpaka ukajichomeka kwenye chumba kimoja?nina wasiwasi wewe nyumba hauna ila ulikuwa unatafuata URAHISI WA MAISHA KWA WAZAZI WA HYO BINT sasa umepata ndo waona kero hizo.ok kila mtu atamuacha nduguye/wazaziwe na kuambana na mwenzake ila wewe umeacha wazazi wako na kuambatana na mkeo na wazazi wa mkeo so...?bro beba mkeo nenda K-W-E-N-U hapo sio kwenu bali kwao lazima utii mamlaka ya wao.
Kweli hapa nimepingana na maandiko matakatifu. Ila me nilijua nitakaa kwamuda mfupi kisha nitaruhusiwa niondoke na mkewangu lakini ni kinyume chake. Sasa ni mwaka wa nne na mtoto tushapata lakini bado naishi ukweni tu.
 
Nashukuru sana kwamichango yenu yakimawazo, nahidi kuifanyia kazi michango yenu huku nikichanganya na mawazo yangu. Kiukweli nimechoka kuishi ukweni. Mupo mulio nifunua akiliyangu kuhusu kuchunguza uwezekano wa babamkwe kuteambea na mwanae, hilo nimelipa kipaumbele cha haliyajuu. Mupo mulio nishauri kusepa zangu, hilinalo sinta lipuuza, ukizingati mjengo ninao ila nime pangisha tu, lakini nibola niende nikakakae hata kwa wazazi wangu kuliko kuendelea kuishi ukweni. Shukrani.
 
basi take action my bro,au wataka mwanao naye aje akuzalie mtoto ukiwa hapo?kubali kutawaliwa ukiwa chini ya hutaki basi si mkeo,beba nenda naye wala hakuna atakaye taka maelezo kwanini?ni mkeo basi nduguzake haiwahusu tena wala mke hana haki ya kukataa kwakuwa mke wala sio girlfrnd,ila kama ni girlfrnd bro hupaswi kumchukua kihasara hasara tu
 
mi hata sijajua nicomment nini!
aaaaargh!
MWANAUME WA AINA HII HATA BURE SIMTAKI!!
 
Kweli hapa nimepingana na maandiko matakatifu. Ila me nilijua nitakaa kwamuda mfupi kisha nitaruhusiwa niondoke na mkewangu lakini ni kinyume chake. Sasa ni mwaka wa nne na mtoto tushapata lakini bado naishi ukweni tu.
nani unataka akuruhusu wewe!HUYO MKEO AU MKE WA WENZIO?
aaaaaaaaaargh!
KUNA MUDA NAPENDA MFUMO DUME!hiii makitu ya kulia lia hivi sasa mkeo afanye nini!
 
Ngoja niyafanyie kazi maneno yako bro, kwani wewe nimtu kama wapili unanifunua akili yangu kuhusu hilo (baba mkwe kuteambea na wanae wa kike)

Kimbia fasta dawa za Baba mkwe zinaisha nguvu..akirenew ndo mpk miaka minne mingine utazinduka na kulalama kama hivi. Aisee ni ngumu sana kuamini kuwa KITOABU huyu anasimulia hii kitu.
Fanya kusali mungu akuongezee ile nguvu ya uanaume uchukue uamuzi mgumu sasa hivi.
 
Mkuu, mazingira ya hii familia ni yakawaida, labda kama Kuna mengine nyuma ya pazia basi mimi sijui.

Yes hapo lazima kuna ki2 nyuma ya PAZIA hukuwa makini tangu mwanzo so Unatakiwa kuwa makini unapotamani kutoka! Familia zingine zina mambo yakichawi! Kuna jamaa alijiingiza kwenye Familia flan ile familia ni Tajiri sn Kumbe utajiri wao niwaDAMU iliazimiwa m2 atakae muoa Bint yao lazima awe waDZAIN hiyo Jamaa kajichanganya kamzalisha huyo bint bila kuoa kilichotokea.....!!!!!
 
pole kakangu. na hongera kwa uvumlvu huo. kwan wa2 kama wewe ni wachache mno kkt ulimwengu hu wa ss. ushaur wangu n hu. ka chn na mkeo kama mlizungumzie na kuchukua ha2a ya kuhama mara moja. kama anakupenda kwel hamtashndwa kuchukua ha2a tena una kwako bwana' alaaa' vnginevyo ndugu yangu utaendelea 2 kulalamika!
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
(BOLD) Hapo ndipo uliponipoteza kama furaha yako ni kumfanya hivyo mke wako (utawezaje mtu kujitandika makofi!!!!!!!???????????) labda ndio maana wamekukatalia kwenda na huyo mama wanajua utakuwa unamkata makofi.Je ulikuwa mdogo na wewe mlipokuwa mnaoana? ninachokijua mimi ni kwamba wewe na yeye mnatakiwa mtoke kwa baba zenu ili muambatane na hatimae muwe mwili mmoja (sio kukatana makofi). POLE. kwa sababu ulikubaliana nao kwa moyo basi rudi kwao uwaeleze kinagaubaga kuwa sasa mmeshakuwa watu wazima wawape ruhusa muende zenu mkajenga mji wenu lakini wahakikishie kuwa hutamkata makofi mtoto wao
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
Mkuu una miaka mingapi? kwa sababu thread kama hii inaonesha kwamba unapungukiwa na ukomavu wa akili na ndio sababu wazazi wa huyo binti hawakukuamini, ikabidi wakuambie ukaishi kwao ili wawalee kama watoto walio na umri chini ya miaka 18. Sasa wewe mchango wako wewe kwenye hiyo familia ni nini? Na kwanini ukae kipindi chote hicho cha miaka minne? ULIKUWA UNASUBIRIA KUTUZWA? Wewe ondoka huko kwa wakwe na ukajitegemee na sio mambo ya kusema unaenda kwa wazazi? Utajua lini namna ya kulea familia yako mwenyewe? Wewe unaonekana unapenda m2 akusaidie kufikiri na sio wewe ufikiri mwenyewe na kuja na mawazo ya kujijenga wewe na familia yako. CHUKUA HATUA. BE A REAL MAN.
 
mkuu upo serious au unatania, humu duniani kuna mambo mengi yanendelea..doh
 
Kimbia fasta dawa za Baba mkwe zinaisha nguvu..akirenew ndo mpk miaka minne mingine utazinduka na kulalama kama hivi. Aisee ni ngumu sana kuamini kuwa KITOABU huyu anasimulia hii kitu.
Fanya kusali mungu akuongezee ile nguvu ya uanaume uchukue uamuzi mgumu sasa hivi.
Ndio mimi Mkuu, ila uwanaume wangu unaishiaga humuhumu JF tu, nikirudi nyumbani Uwanaume wote namkabidhi mwenyewe (baba mkwe) namimi nabaki na uvulana tu.
 
Back
Top Bottom