Pole xn broMoja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.
Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).
Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu.
Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.
Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.
Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini.
Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao.
Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.
Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----.
Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.
Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?
Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?
Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
We nawe sijui mwanaume wa aina gani! Ndo ndoa za kulazimisha hizo. Hapo kudharaulika lazima. We siku amka mwambie mkeo mnahamia kwenye nyumba yenu na aga kwa wakwe. Wakigoma waache na mtoto wao Ila wewe ondoka. Wakiona upo serious watamruhusu binti akufuate. Ukiwa bwege watakutreat kama bwege tu.Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.
Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).
Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu.
Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.
Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.
Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini.
Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao.
Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.
Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----.
Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.
Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?
Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?
Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
Eti mdogo! MTU mpaka anapanua miguu bado mdogo hapo?Hivi kijana ulieamua kuoa kwa hiari yako mwenyewe unakaaje ukweni?? ili iweje?? na hayo unayoyapata ni halali yako. Huyo binti wakati unamuona alikuwa na umri chini ya miaka 18 mpaka aendelee kuangaliwa na wazazi??
Ameolewa huyo anadhani kaoa! Mume sio dudu tu, majukumu ndo yanamfanya MTU kua mumehapo kwenye kila kitu kununua baba mkwe hadi nguo za mke wako!
aaaah! unatushusha wanaume wenzio kama nyumba unayo ondoka hapo!
aaarrgghh!!! na ningekuwa karibu ningemgegeda mkeo akili ikukae sawa!
Imeandikwa Mwanamme atamwacha babaye na mamaye naye ataambatana na mkewe. Wewe hilo ulukuwa unalijua ndio maana ukafanya hivyo. Wewe kama umechoka mwambie mkeo tuhamee anza wewe kutokaa baada ya siku 2 tatuu mkeo akufate na kama anajali mauhusiano yenu na unamtendea vema atakuja ila kama wewe mwenyewe ueleweki polee yakoo hatokufata ng'ooo.... Kunginee mwanamke gani anayefkia kuolewa wazazi waseme n i mdogoooo inabd mume uje ishii nayee hapa maa a mwana aitaji maelekezo bdo? Anaelekezwa nini lbd kwa mfano!Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.