Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Mkuu unalalama nini, hii sio kitu ya kuleta jamvini. Hivi utaishije ukweni kisa nini? Mke!!!!! Mwambie mke aamue moja wakati huo haupo hapo! Yaani hata huyo mtoto wako anakuona kama ka house boy fulani[/QUOTE
Ondoka mwambie mkeo unaondoka siku ya pili akufuate na mtoto usibebe kitu mbali ya nguo chache. Ni aibu kukaa ukweni hata kama kitanda huna kalali kwenye godoro.
 
Mkuu unalalama nini, hii sio kitu ya kuleta jamvini. Hivi utaishije ukweni kisa nini? Mke!!!!! Mwambie mke aamue moja wakati huo haupo hapo! Yaani hata huyo mtoto wako anakuona kama ka house boy fulani

Ondoka mwambie mkeo unaondoka siku ya pili akufuate na mtoto usibebe kitu mbali ya nguo chache. Ni aibu kukaa ukweni hata kama kitanda huna kalali kwenye godoro.
Nimekuelewa Shangazi.
 
Mkuu mambo haya yapo nayanatoke kila siku kwenye jamii zetu.

mkuu napata wasiwasi sana na wewe ulioa ukiwa kaserengeti boy...

utaishije kwa wakwe jamani? hata kama ni hali ngumu ya maisha miaka yote hiyo??

hebu funguka wewe uondoke huko kwa watu usiabishe wanaume bana!
 
Sijawahi kuona aibu km hii tangu nizaliwe km ni kweli mtoa mada anachosimulia! Ss kwetu ni mwiko kulala ukweni hata km umeenda kutembea usiku ukakuta huko! Ni bora ukalale kwa shemeji lkn kwa mkweo !
Nashindwa kucömment chochote kwakuwa naamini hii siyo habari ya kweli.

Baaaas.
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini. Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?
Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?

Unajuwa tatizo hilo ni la asili Babako atakujaje hapo tena?
Hebu toka hama hapo sasa hivi! Amaaah!
 
Teh teh teh wasi wasi wangu unalalamika huku jf ukirudi huko kwa wakwe kimyaaaaa
 
Anza kuwatongoza madada wa mkeo likitokea zogo waambie nahama na mke wangu lisipotokea zogo tongoza wapili ikiendelea hvyo endelea mpaka kwa mama mkwe labda ndo wanachotaka
 
sema we nawe kimtindo una makosa utaoaje serengeti girl,pili kwa nini ulikubali sharti la kukaa ukweni sababu waliyoitoa eti badio mdogo haimake sense at all,yaani usiku unalala nae ila kukaa nae kwako ndio bado mdogo,there is smthng bhnd t.
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.

Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).

Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu.

Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.

Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.

Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini.

Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao.

Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.

Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----.

Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.

Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?

Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?

Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
Pole... pengine unaandaliwa kwa mahusiano bora zaidi.. relax.. enjoy life.. ishi maisha.
 
Wakati wa kugegedana wanatoa uangalizi wowote?

Ondoka hapo kama anakuhitaji atakufuata.
 
hehehe. i cn imagne ths. kama anakupenda nenden mkaishi kivyenu..othrwise hakuna ndoa hpo..siku na siku ugmvi..chanzo mama mkwe.. shemeji..
 
Sasa ww ulikubaliana nalo vp hilo sharti la kitoto? Kama waliona binti yao ni mdogo kwa nini walikubali kupokea posa yake? Wewe jikate zako yy mwenyewe atakufuata huko kwako kama kweli anakupenda
 
Pengine walishahamia kwao...!! Imekuwa kitambo sana au wameshamtoa kafara!!
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi.

Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni).

Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu.

Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mke wangu.

Siwezi hata kumkata makofi mke wangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa upande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao.

Hii familia ni ya kibabe sana Huwezi amini.

Nilipo jitokeza na kutangaza nia yangu ya kumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwa hoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uangalizi kutoka kwao.

Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.

Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwa muda wa miaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bora kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----.

Kama kuzaa tumesha zaa na tayari mtoto keshakua. Kama nyumba ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa tayari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae.

Hapana bora nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mke wangu ambaye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake?

Hapa bora niende zangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni?

Uko wapi utamu wa ndoa ikiwa kila kitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?
pole ila siku ingine usioe rangi hizo
 
Mkuu one mistake one goal....ongea na mke wako na uwashirikishe wazazi wake swala la nyiny kuhama kutoka kwao.
La sivyo utaish kama mfungwa wakat unaweza fany maamiz sahihi
 
we nyau kweli HIV were una hata baiskeli? ukweni? kiufupi umeolewa hongera
 
Back
Top Bottom