Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Kimbia kijana,jambo kama lako nimeshalishuhudia kwenye familia fulan yule mzee alikua anatembea na mabint zake na walipohitaji kuolewa ilibid mwanaume ndo aende kuishi kwa mwanamke,
hii inahusishwa sana na imani za kishirikina na mwanaume baada ya kufika nyumban kwa mzee na yeye anaingizwa kundini...take care
hii inahusishwa sana na imani za kishirikina na mwanaume baada ya kufika nyumban kwa mzee na yeye anaingizwa kundini...take care