trizo boy.
Member
- Nov 14, 2015
- 25
- 1
Mkuu vigodoro mwisho saa sita siku hizi, acha wapige mchana tu. Halafu heshimu chaguzi za watu.
Umeona eeh anazingua uyo jamaa anatakiwa aheshimu
Mkuu vigodoro mwisho saa sita siku hizi, acha wapige mchana tu. Halafu heshimu chaguzi za watu.
Duuuh kama we zimekushinda basi balaaa..Mwenzio nilibahatisha kukuta watoto wanacheza kitaa fulani. Ilibidi nitafute tu pozi la kusimama kwa muda. Nikijaribu zile styles mtanikuta MOI
kuwa na heshima vitu vikianzia huku kwetu mnavidharau eti vya kihuni kisa hamvijui
Mnakera
Unatakiwa uulize kwa wanaojua vizuri kisha uelezwe ila kwa dharau hizi utabaki na ujinga wako na wote wenye akili kama zenu
Uzalendo unaanza na vitu vya ndani sio kisa huvipendi ndio kuviita vya kihuni
Fresh wenyewe tunaenjoy na uhuni wetu
Duuuh kama we zimekushinda basi balaaa..
Kuna nyimbo imeweka hapo juu..nimeisikiliza lakini siielewi..Naona mtu anajisifia tu kuwa ye ni mwehu
Hahaha daddy mwili umezeeka, ntaumia bure. Ila sijakata tamaa, ntajitahidi nijue style 2 tatuDuuuh kama we zimekushinda basi balaaa..
Kuna nyimbo imeweka hapo juu..nimeisikiliza lakini siielewi..Naona mtu anajisifia tu kuwa ye ni mwehu
Duuuh kama we zimekushinda basi balaaa..
Kuna nyimbo imeweka hapo juu..nimeisikiliza lakini siielewi..Naona mtu anajisifia tu kuwa ye ni mwehu
Nmeicheki ..Iko poa..Ina amsha amsha za kutosha aisee..Msagasumu yuko poaHaha hyo hata m imenishinda m naelewa hii tu mamaa amina ya msaga sumu"
[Watch "Msaga sumu Katika Final za mziki Mnene wa 93.7 Efm Dar Live" on YouTube - https://youtu.be/LsTpGW54kN8]

Ukitaka kuenjoy cheki hyo video hapo juu mkuu utaona huu mziki unavyokubalika uswazi
Hahaha daddy mwili umezeeka, ntaumia bure. Ila sijakata tamaa, ntajitahidi nijue style 2 tatu
Kuzielewa ni kazi, wewe burudika tu
Aali singeli manyota singeli
Hahaha basi nimeacha daddyKuna video nimeicheki..Hizo style sio rafiki Douta..Husijaribu
Nmeicheki ..Iko poa..Ina amsha amsha za kutosha aisee..Msagasumu yuko poa
nimekisikia na kibwagizo cha mama amina teh teh..wahuni wamepinda
Bora aiseeHahaha basi nimeacha daddy
teh teh..Hasiyecheza mchawiHahaha hyo video sichokagi kuitizama watu wamevurugwa ase hahaha" wanacheza mwanzo mwisho