Nahitaji nyimbo za singeli

Nahitaji nyimbo za singeli

Toloka uje nasema toloka uje

Hehe...kuna kipindi hawa mbwa mwitu walikuwa wanakuja kwa kasi basi ikabidi polisi wawe wanaenda kwenye vigodoro kuimalisha ulinzi,sasa siku niliyocheka ni pale ilipopigwa nyimbo yao ile wanasema "mida ya kazi"...polisi wakazuia mziki maana ikifika hapo hiyo nyimbo basi wahuni huanza kutoa kweli sime waanze kazi.
 
Hehe...kuna kipindi hawa mbwa mwitu walikuwa wanakuja kwa kasi basi ikabidi polisi wawe wanaenda kwenye vigodoro kuimalisha ulinzi,sasa siku niliyocheka ni pale ilipopigwa nyimbo yao ile wanasema "mida ya kazi"...polisi wakazuia mziki maana ikifika hapo hiyo nyimbo basi wahuni huanza kutoa kweli sime waanze kazi.

Kwenye mnanda hiyo ilikuwa inaitwa lima lima lima!!
 
Singeli is the next biggest thing kwenye list ya Local Music..... 🎶 Buti kama hili hauna🎶
 
Aah wapi wewe wa kishua, juzi nilikuona na Vanguard Mbezi beach, ole uje kwetu Mwananyamala komakoma tunakunyonyoa manyoya, ndo utajua kisingeli ishu gani

Hahahahah uzee bana

Mbezi beach nilienda kumtembelea Preta alikuja kuosha macho kidogo
 
Last edited by a moderator:
kwenye kampeni kulikuwa na singeli maarufu ya msagasumu, haya lowassa huyo...
 
Zilitumika kiushawishi lqkin...nafkir mpka point hiyo zimebeba dhana katika jamii...lakin sijui labda kwa muono wako...laki swali kwan wewe nyimbo zipi za tz umeona za wazee wa miaka yako
 
sawa sawa jingalao haina noma,lakini inabidi utoke huko Lumumba watakuzeesha kabla ya muda
Lile singeli la pale jangwani siku ya ufunguzi lilikuwa balaa....sikulisifia kwa kuwa nilikuwa kikampeni zaidi.

hebu weka hizo singeli zako kwenye waptrick na mitandao mengine tudownload.

by the way unawakilisha na kuwasilisha vizuri lakini nikushauri potezea kidogo manyimbo ya siasa....rudi kwenye biashara utatoka.
 
Last edited by a moderator:
KIOO yaani hizo singeli nimezijulia hapa loh...
MO11 sio wa kishua...nahisi uzee unanyemelea!!!


Yaaani mkuu, acha tu mwaya mi nilijiuliza mno kujua ni aina au ni mahadhi gani ya mziki lakini nilikuja kupata jibu baadae kabisa mkuu, acha tu.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana KIOO kwa kunielewesha.........japo sina kumbukumbu ......kama niliwahi kusikia singeli........pls mkuu MO11 nenda na sisi polepole.........kama alivyosema BADILI TABIA.......inawezekana kweli uzee unatunyemelea.........sasa linapokuja swala la singeli.......inatuwia vigumu sana..........


Yes, ni kweli kabisa mkuu si lazma atupeleke anavyotaka yeye kwenda coz si kila anachokiona mwengine ni kizuri basi na mwengine atakiona ni kizuri laa hasha.

Anyway, ngoja turudi kwenye main theme ya meditation ni kwamba let's focus on the main point na tuache thoughts zinazopita pembeni coz zinaweza kututoa kwa kile ambacho tungetarajia kukipata klna kukielewa.

Nikimuona huyo dogo ntajaribu kuweka hizo nyimbo zake baadhi hapa bado sijamuona yupo hapa kitaa tu, ntaweka pia kwa faida ya wengine wasiojua na hata kwa niaba ya mleta mada kwa kuwa ameomba na anahitaji hizo ngoma.

Mwisho, nimependa signature yako my lovely "LIFE IS TOO SHORT TO WASTE TIME HATING ANYONE..."
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom