Nahitaji nyimbo za singeli

Nahitaji nyimbo za singeli

Mwenzio nilibahatisha kukuta watoto wanacheza kitaa fulani. Ilibidi nitafute tu pozi la kusimama kwa muda. Nikijaribu zile styles mtanikuta MOI
Duuuh kama we zimekushinda basi balaaa..

Kuna nyimbo imeweka hapo juu..nimeisikiliza lakini siielewi..Naona mtu anajisifia tu kuwa ye ni mwehu
 
kuwa na heshima vitu vikianzia huku kwetu mnavidharau eti vya kihuni kisa hamvijui

Mnakera

Unatakiwa uulize kwa wanaojua vizuri kisha uelezwe ila kwa dharau hizi utabaki na ujinga wako na wote wenye akili kama zenu

Uzalendo unaanza na vitu vya ndani sio kisa huvipendi ndio kuviita vya kihuni

Fresh wenyewe tunaenjoy na uhuni wetu

Oyo ndo mana ake..
 
Duuuh kama we zimekushinda basi balaaa..

Kuna nyimbo imeweka hapo juu..nimeisikiliza lakini siielewi..Naona mtu anajisifia tu kuwa ye ni mwehu

Haha hyo hata m imenishinda m naelewa hii tu mamaa amina ya msaga sumu"

[Watch "Msaga sumu Katika Final za mziki Mnene wa 93.7 Efm Dar Live" on YouTube - https://youtu.be/LsTpGW54kN8]
👆
Ukitaka kuenjoy cheki hyo video hapo juu mkuu utaona huu mziki unavyokubalika uswazi
 
Hahaha daddy mwili umezeeka, ntaumia bure. Ila sijakata tamaa, ntajitahidi nijue style 2 tatu

Kuzielewa ni kazi, wewe burudika tu

Aali singeli manyota singeli
 
Ni bora wee uliyesema mwaya.
 
Haha hyo hata m imenishinda m naelewa hii tu mamaa amina ya msaga sumu"

[Watch "Msaga sumu Katika Final za mziki Mnene wa 93.7 Efm Dar Live" on YouTube - https://youtu.be/LsTpGW54kN8]

Ukitaka kuenjoy cheki hyo video hapo juu mkuu utaona huu mziki unavyokubalika uswazi
Nmeicheki ..Iko poa..Ina amsha amsha za kutosha aisee..Msagasumu yuko poa

nimekisikia na kibwagizo cha mama amina teh teh..wahuni wamepinda
 
Hahaha daddy mwili umezeeka, ntaumia bure. Ila sijakata tamaa, ntajitahidi nijue style 2 tatu

Kuzielewa ni kazi, wewe burudika tu

Aali singeli manyota singeli

Kuna video nimeicheki..Hizo style sio rafiki Douta..Husijaribu
 
Nmeicheki ..Iko poa..Ina amsha amsha za kutosha aisee..Msagasumu yuko poa

nimekisikia na kibwagizo cha mama amina teh teh..wahuni wamepinda

Hahaha hyo video sichokagi kuitizama watu wamevurugwa ase hahaha" wanacheza mwanzo mwisho
 
kinachonikekesha sana ni hizi beat za singeli TEMPO speed yake iko fasta kama inaimbwa na katuni
 
Zamu ya nani leo? Zamu ya man fongo, zamu yako itakuja kesho usijali..

Man fongo natamba 'aii
Mtaalam wa kulamba ' mama
Nguo za mitumba
Ntaendelea kutamba
January mpaka December ntaendelea kutamba
 
Wanakwambia ainaga ushemeji wanakulaga msiba wa shoga auna matanga
 
Shika ukuta mwanangu cheza singeli
Siajona mwendo wa singeli
We shika ukuta Baba cheza singeli
 
Back
Top Bottom