BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Mamaaa aminaaaaaa..........
...
...
Preta mi nafkiri jamaa amemaanisha kuwa ni KAAAAZI KWELI KWELI.
Anyway, hizi nyimbo kwa kweli hata mi nilipata wakati mgumu mno kujua zinaitwaje kwa kweli.
Ni hizi nyimbo za vitoto vya siku hizi vya kihuni. Wenyewe wanaita nyimbo sjui za vigodoro kama skosei. Sjui ni nyimbo za mahadhi gani aisee, na hata maneno wanayotumia humo mmmmh, acha tu.
Sioni ladha ya kuskiliza hizi nyimbo kwa kweli kwanza hata temple (speed) ya nyimbo zenyewe tu jinsi zinavyoenda kwa kweli acha tu.
Vijana wa sasa huwaambii kitu kwa hizi nyimbo niliuliza juzi ndio nikaambiwa zinaitwa hivyo sjui ni something like SENGELI au SINGELI watajua wenyewe, na nafkiri hii kitu wameasisi toka kwa MSAGASUMU.
Kuna katoto kamoja hapa mtaani kenyewe kanasema kuwa kamerekodi nyimbo kama 20 hivi nikawauliza mnarekodi vipi wakasema elf 5 unarekodi nyimbo 3 i was like (whaaaaat) ?, wakasema wanarekodia sjui virtual dj by looping any beat.
Ngoja wadau wataweka hapa hizo nyimbo mleta mada ngoja waje wenye nazo sjui wamelala saa hizi maana ni watu wa vigodoro na hata wa bodaboda nawaskia wakizipiga siku hizi, nasubiri ziingie kwenye KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS.
Mamaaa aminaaaaaa..........
...
Mkuu vigodoro mwisho saa sita siku hizi, acha wapige mchana tu. Halafu heshimu chaguzi za watu.
Job true true
Mkuu hii nimewahi kuisikia kwa msagasumu..Uwa ina maana gani?Mamaaa aminaaaaaa..........
...
Mkuu hii nimewahi kuisikia kwa msagasumu..Uwa ina maana gani?
Mwenzio nilibahatisha kukuta watoto wanacheza kitaa fulani. Ilibidi nitafute tu pozi la kusimama kwa muda. Nikijaribu zile styles mtanikuta MOITeh teh..Sijawahi kuzisikiliza Douta..Nasikia tu watu wakiziongelea
Ok..NimekusomaKibwagizo tu hicho mkuu" ikipigwa mamaa aminaaa
Mashabiki wanamalizia cjui nn vilee... ( tusiiii )
Acha zarau ww kwaiyo ww unajiona mkubwa sana co iyo burudani tuu kama burudani nyingne wa uswazi wanazielewa izo nyimbo.......ww kama uzipendi kaushaPreta mi nafkiri jamaa amemaanisha kuwa ni KAAAAZI KWELI KWELI.