Safi sana.narudia tena, sihitaji buzi la kuchuna, sihitaji pesa za mtu nimejiajiri pesa nnazo nahitaji kampani
he he he kula ngamia hii mpya
Nakukongaja huku mjasiriamali le baby, achana na hao ambao wanaopewa offer wao wanaleta issue za umri na fb!! next time pm au vip tukale bata wetu!!!
Wana jf Le baby ni business Lady (self employed) anakuwa busy all the time, sasa anataka watu wa kuchill nao na watu ndo sie we just swip the live=bata!!
in time the vacant is unfilled try Swiper!!! you 'll burst with batas.
SP
usirudie kudandia gari kwa mbele utagongwa uchafue barabara
wala sihitaji kuelewa narudia tena uache kiherehere kwenye mambo ya watu
we mlimbwende umepata wakula nae bata? Kama bado nitafute leo na kesho mana tuna kalikizo ka ujio wa obama. Nitafute mwaya tukale bata, ngamia, mdudu na kila kitu achana na hao wanaoponda.
he he he nishapata wa kula nao bata i just needed friends na sio watu wa kufanya nao mapenzi
Maambukizi ya VVU/UKIMWI tanzani yamepanda!