Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Watu wazima tunahitaji watu wazima pia sio miaka 24 halafu tuongee nini na wewe??? yaani tukifuatana njiani kila mtu anajua nina CHANGU....lol tafuta watoto wenzako

Unaishi dampo ule bata na mie wanchekesha mi najua dampo zinaishi takataka off my way

Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Ukipata na mie nigawie mmoja mwaya namie nataka....
 
sasa mie nashangaa mtu kaleta anachoitaji na wewe unaona haikuhusu kwa nini umuhukumu? kila mtu ana namna yake ya kuishi sometime watu wanaitaji kampani za kawaida tu kutoka nao weekends ili kufurahi..tujifunze kuheshimu wenzetu ata kwa tusichopenda..
 
Chagua jibu sahihi: Gharama za hizo bata,
(i). Unalipa wewe
(ii). Analipa huyo mwanaume
(iii). Mnachangia pasu kwa pasu

Kwa mla BATA hayo mawili kwenye bold ni magumu kidogo kutekelezeka
 
Nini bata watu wanakula ngamia ckuhizi....na wakichoka wanakula mavyura ila kichina..am a bata booooooyyyyy
 
Mie staki kula bata..kama vipi njoo wewe ule ngamiaaaaaaa....machuraaa ila kichina...uza usingizi nunua kesha bata bwayyyy...utakula ngamia mpaka uulize leo ni birthday?...
 
Nakukongaja huku mjasiriamali le baby, achana na hao ambao wanaopewa offer wao wanaleta issue za umri na fb!! next time pm au vip tukale bata wetu!!!
Wana jf Le baby ni business Lady (self employed) anakuwa busy all the time, sasa anataka watu wa kuchill nao na watu ndo sie we just swip the live=bata!!
in time the vacant is unfilled try Swiper!!! you 'll burst with batas.
SP
 
Kwa majibu anayotoa huyu lazima atakuwa 24 - X = under 18.
 
Kwa majibu anayotoa huyu lazima atakuwa 24 - X = under 18.

Vyovyote utakavofikiria tu, watu wanavihedemswede sana mi wanaleta ujuaji hapa na kuanza kejeli kama haiwahusu si waishie atakaejichomeka namchomekea mie
 
sasa mie nashangaa mtu kaleta anachoitaji na wewe unaona haikuhusu kwa nini umuhukumu? kila mtu ana namna yake ya kuishi sometime watu wanaitaji kampani za kawaida tu kutoka nao weekends ili kufurahi..tujifunze kuheshimu wenzetu ata kwa tusichopenda..

Bora uwaambie mi nawashanga, kama mtu haimuhusu aishie sio kuleta ujuaji hapa mambo ya ukimwi yametoka wapi sijui nani kawaambia kula bata ni kufanya mapenzi ogopa watu wenye akili fupi.
 
Kwa mla BATA hayo mawili kwenye bold ni magumu kidogo kutekelezeka

narudia tena, sihitaji buzi la kuchuna, sihitaji pesa za mtu nimejiajiri pesa nnazo nahitaji kampani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom