Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
khee, idadi haihusu...??? Kwa hiyo mtungo unahusika..??? We miaka 24 huogopi idadi...??? Kwa taarifa yako, umalaya si idadi ya mabao uliyochabangwa, bali idadi ya wanaume waliokuchabanga mabao hayo... Kwa mfano, Kama bao 10 mwanaume mmoja, si umalaya, ila kama bao 10 wanaume kumi, huo umalayakwani nawe unataka? idadi inakuhusu nini? ishia zako