Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
Ni pm tule bata hachana na wazinguaji, ila usiwe gogo kitandani
nina elimu, nina kazi sina familia shida ipo wapi?
kavurugwa baba ako pu.uzi wewe
Elimu ya wapi hiyo inayofundisha wahitimu kuwa na mitusi kama yako, au ndiyo ile ya Diploma na Shahada za vyuo vya mitaa ya Kariakoo?shenzzzzyyyy type
Hicho ni kiwanda cha kandambili China, type ni kifupi cha Jimbo la Taipei.shenzzzzyyyy type
Elimu ya wapi hiyo inayofundisha wahitimu kuwa na mitusi kama yako, au ndiyo ile ya Diploma na Shahada za vyuo vya mitaa ya Kariakoo?
Kwa mwendo huu utaendelea kutumiwa na kutupwa kama vocha ya buku.
Naona wamelala, huyo ni wa kumpuuza tu pengine ni wale waliotoroka Mirembe. Mkuu kwa tabia kama hiyo na nyingine ambazo hajazianika humu unafikiri ataachwa kutumiwa na watoro wenzake na kudampiwa kama vocha.mleta izi anatukana....mods wapo likizo nn!?
unajua maana ya love connect, kiherehere chako kiondoe hapa
sitafuti mwanaume wa kufanya nae mapenzi mimi