Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Angalia usije kula mpaka manyoya
 
hizo bata zingekua mpya hapo sawa.sasa bata zenyew zilishachoka na mizunguko ya kimaisha kwahiyo ni kama marudio hakuna jipya..!!
 
Natamani ningeweza kuweka sauti ya Lipumba ikisema "... Kama shuzi limepata mjam..ji"
 
we hata sheria za chupi tu hujazijua unataka bata mara hii
 
kama upo tayari kula na mimi kuku nitafute bata sitaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom