Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

aina mbaya mi niko tayari njoo ghetto sinza remy..kuna mzinga,kuku wa kisasa na kila kandu
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.
0714021078
 
unatafuta bata umu? kumbe bata nao wametengenezwa kisoftware! wachina ni hatari hatari sana!! hakuna njaa tena! ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaah!!
 
Nishaachaga kula bata...nakulaga njiwa tu. Kama unapenda pia karibu. Ni PM.
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

kale bata na babako si ni mwanume au unataka kula bata zipi?kuleni mbuzi kabisa
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.

Miaka 24 ushachoshwa na mikimiki ya maplay Boys? Kweli umetumika sana, pole...sana

Huwa Gari Jipya hupimwa kwa Kilomita zilizotembea, lakini wewe unaonekana beyond tired and used.

Very xory find ua like.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom