Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
673
Reaction score
835
Hamjambo

Binafsi nina ombi nalileta kwenu,natafuta mwanamke mwembamba haijalishi umri,rangi,tabia au kabila.Kwa upande wangu nipo sawa umri wangu nipo stage ya tatu.

Kama yupo humu ndani au kuna mdau yeyote anamfahamu mwanamke mwenye sifa tajwa DM yangu ipo wazi.

Asante
 
Mwembamba amenyooka 🤔
447E888D-13B0-4039-90C7-F5784892E00C.gif
 
Achana na ma mwanamke membamba, yana unyafuzi mpaka kichwani! Yatakuzalia watoto hamnazo! Ila na wewe mkuu una changamoto, ina maana huko kote unakopita hujawahi kuona mwanamke mwembamba mpaka uje kutusumbua Sisi huku?
Hamjambo

Binafsi nina ombi nalileta kwenu,natafuta mwanamke mwembamba haijalishi umri,rangi,tabia au kabila.Kwa upande wangu nipo sawa umri wangu nipo stage ya tatu.

Kama yupo humu ndani au kuna mdau yeyote anamfahamu mwanamke mwenye sifa tajwa DM yangu ipo wazi.

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom