afu anaebisha anaelimishwa lakin bado haelewi yaan nikama yeye ndo anajua kiswahili wengne tulifundishwa na wachinaElimu elimu elimu
Heri umewafahamisha neno kijana sio mwanaume tu
afu anaebisha anaelimishwa lakin bado haelewi yaan nikama yeye ndo anajua kiswahili wengne tulifundishwa na wachinaElimu elimu elimu
Heri umewafahamisha neno kijana sio mwanaume tu
Title imesema anahitaji MUMEKwani mliokomenti humu mumejuaje mtoa mada na KE?
Kwa nini na ndugu anaraka kuanzisha familia?Inasikitisha sana!
HIV mkuu!Kwa nini na ndugu anaraka kuanzisha familia?
Sisi ambao hatuna degree turudi shule?au unatushauri nini tujue jinsia yake!Title imesema anahitaji MUME
Hii inahitaji degree kujua jinsia yake ni KE kweli?
Uko right mkuu.Jamiii imezoea kijana ni me Ila kijana anaweza kuwa wa kike au kiume,,
Hivyo jitambulishe mm ni kijana wa ke usiku mwema
Kasema anahitaji "meantime" hivyo ni ngumu kujua kama hiyo typing error lengo ni kutaka kusema anahitaji mme au mke.Title imesema anahitaji MUME
Hii inahitaji degree kujua jinsia yake ni KE kweli?
Kaeleweka kama huhusiki pita kushoto ,wtf with you👎Inasikitisha sana!
Virusi sivyo? Magonjwa mangapi huambatana na virusi?Ni utawala na kuvitawala tu.HIV mkuu!
Title ya uzi umeisoma lakiniKasema anahitaji "meantime" hivyo ni ngumu kujua kama hiyo typing error lengo ni kutaka kusema anahitaji mme au mke.
Okey, kwa title yuko sahihi, nimekuelewa.Title ya uzi umeisoma lakini
Virusi Vingine vimesha shindikana!Virusi sivyo? Magonjwa mangapi huambatana na virusi?Ni utawala na kuvitawala tu.
Kaeleweka kama huhusiki pita kushoto ,wtf with you
Ndo nini?Makebo unayo?